Kesho tutakuwapo kukipokea kile kielelezo kisichojulikana kilivyomfikia Jumanne mahakamani tokea alipomwachia Inspector Swilla.
Pamoja na kuwa kina kurasa 2 na ni ukurasa wa kwanza pekee ulio na...
Kupata Democrasia kamili lazma watu wapitie katika suluba na Motto. Zitoke damu au Jasho la damu mateso na vurugu za kila Aina. Mbowe avumilie mateso yote. Kama anafanya yote kwa wema Mungu...
Rais Samia Suluhu Hassan ameamua kuitenga wizara itakayoshughulikia jinsia, maendeleo, wanawake na wizara ya afya ni kuimarisha utekelezaji wa mipango na sera. Napendekeza wizara hiyo iitwe...
Hii kesi ya Mbowe ina vitu vingi sana, nje ya siasa Kuna upande wa jeshi letu la wananchi, nikitafakari waliyosema walifanyiwa Makomando wetu walio fukuzwa kama kweli wamefukuzwa na SI kwamba wapo...
Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick...
Lissu na Ww mnyika ni Bora mkakaa kimya kabisa Kwa ishu hii ya mbowe
Siku zote mlikuwa mnatumia nguvu na mihemuko mikubwa kwa ishu ya mzima ya mbowe
Leo Zitto ametumia busara na unyenyekevu...
Chadema wanavyompaisha Zitto:
Achana na habari za Polepole na manyang'unyang'u na maroroso yake, mganga keshakufa mteja lazima atapetape, habari ya mjini kwa sasa ni kitendo cha mwanasiasa Zitto...
Jamaa anaupiga mwingi sana aiseee ,majenereta hiyo biashara ilikuwa ishakufa afadhali imefufuka maana wauzaji nao wana familia zinawategemea
Kwa hakika huyu kijana inabidi aje kuwa mkuu wa nchi...
nawasalimu kwa jina la Jamuhuri kiitikio.......
naomba kujuzwa tatizo la umeme linaloendelea sasa nchini mbona hatuna taarifa rasmi kutoka mamlaka husika au serikali?
kuna mgao??????
MBONA...
As much as sikubaliani na msimamo wa ACT katika mambo kadha wa kadha lakini sikubaliani na viongozi wa CHADEMA kumshabulia mkuu wa chama cha ACT ndugu Zitto Zuberi Kabwe. Ndugu Zitto kaufanyia...
Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika...
Zoom Saturday
Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Disemba 18, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni.
Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa...
Nimeona mahala Ndg. Zitto Kabwe Kiongozi wa ACT Wazalendo anasisitiza matumizi ya hiyo kauli yake hapo juu.
Nikajiuliza, hii kauli ina mantiki ndani yake? imebeba maana kamili ya ujumbe mzima...
Ili swali nimekosa kiswahili chake kizuri, niswali ambalo kimsingi siwezi kulisaau kamwe.
Miaka kumi na mbili Sasa imepita, tukiwa chuo kikuu nakumbuka kilikuwa kipindi Cha kampeni za viongozi wa...
Tunahitaji tuwe wanyenyekevu kama wenzetu, hata mwalimu Nyerere alikuwa mtu free sana
Mtu ambaye hana mentality ya kuwatumikia watu utamjua kwa matendo yake kama unafahamu psychology.
NB...
Alichokisema Mh. Zitto ni hiki hapa:
1. Hakuna popote alipomtaja Mh. Mbowe.
2. Amezingatia na kuheshimu wasiokuwapo kwa sababu zao.
3. Ameomba "kusaidiwa" kwa mwenzao ambaye angekuwa hapo ila...
Ni matumaini yangu kuwa Mungu yu pamoja nanyi akiwalinda ili kutekeleza majukumu ya kila siku.
Nadhani ni vyema nikienda moja kwa moja kwenye mada.
Itakumbukwa kuwa, hapo jana wakati Mh Rais...
Salam kwenu wadau.
Naomba kuwaomba na taarifa ziwafikie hawa Babu zetu Hashimu Rungwe, Augustine Mrema, James Mbatia na wababu wengine ambao ni wenyeviti wa vyama vya siasa na wajiunge na vyama...
Mhe. Freeman Mbowe yupo mahabusu kwa miezi kadhaa sasa, siyo kwa sababu ametenda kosa ya jinai bali kwa sababu amekataa kutumika kuwakandamiza watanzania. Kukaa kwake ndani naamini ni Mpango wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.