Nakumbuka, takriban miaka 4 iliyopita, mtu anayejiita Nabii na Mtume, Josephat Mwingira, ambaye aliwahi kutamka kwamba kabla ya kuokoka alikuwa jambazi sugu, aliwafanyia unyama wa kutisha...
Polepole ni kati ya wale vijana ambao walifikiri wana nguvu kuliko walionayo. Sasa amefikia wakati eti wa kutoa elimu ya uongozi!! Elimu gani ya uongozi?
1. Kwenye tume ya katiba kwanza alienda...
Kipindi Live TRENET: Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika mahubiri yake ameeleza kuwa yeye kama mtumishi wa Mungu anatangaza kuwa walioko madarakani mafisadi na wapiga mabomu mwisho wao ni...
Bonge la uwasilishaji hakika Tundu lisu nje ya mambo machache yanayo mkosesha heshima lkn ni mtu anayefahaa sana kuwa kiongozi tena mkubwa.
Jamaa ni mtaalam sana wa kujenga hoja tatizo lake ni...
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani.
Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni...
Naangalia kipindi cha mahubiri trenet tv huyu jamaa anahubiri anasema kuna watu wamekalia uchumi wetu wako ikulu, wako maofisini wamejimilikisha mali zetu sasa wana mbinu za kutaka kufanya mbinu...
Chadema ndio chama kinachopelekeshwa na matukio kuliko chama kingine chochote hapa nchini
Jana kutwa walikuwa wanamshangilia nabii Mwingira wakidai anafanana sana na Tundu Lisu
Leo wameshamsahau...
Muda ni Mwalimu mzuri sana ! Wanafiki wote wamejidhihirisha.
Tabia za ki TIKITI MAJI nje wa kijani na ndani mwekundu, ziko wazi . Jambo moja la kumshukuru JPM ni la kutufanya tujue tabia za watu...
Moto hauzimwi kwa petroli, Moto unazimwa kwa maji, mchanga na vitu ambavu si vilipuzi.
Serikali ndio mlinzi wetu kwa kutumia vyombo vyetu vya usalama.
Kwa vyovyote vile, haiingii akilini mtu...
Askofu Josephat Mwingira asema Raisi wa awamu ya tano atatoka nje ya madhehebu ya katoliki na uislam.
Pia askofu huyo mwenye makanisa kila pande ya nchi na wafuasi lukuki aliendelea kusema...
Ni njia zipi unaweza zitumia kuwadhibiti na kukamata mafisadi, wala rushwa, na wahujumu uchumi hata kabla hawajavamia fedha za umma. Fuatana na mimi.
Ili kuweza kupambana na fisadi, ni lazima...
JF ndio tegemeo la Dunia la kufichua yaliyofichwa , naomba yeyote mwenye video ya mahubiri ya Baba Askofu Mwingira alioyatoa leo, yanayosemekana ni mahubiri makali kupita yote ya maaskofu ya kudai...
Akiwa mbele ya Rais Magufuli mwaka 2018 Nabii Josephat Mwingira alitamka haya " nilitumia miaka 15 kumlilia Mungu atuletee mtu atayeipenda Tanzania mtu atakayewapenda watanzania Mungu ametuletea...
Maneno hayo ameyatoa Mtume na Nabii wa kanisa LA Efatha Ministries Josephat Mwingira Leo Jumapili katika ibada kanisani kwake iliyopo Mwenge.
Sababu hasa ya kutoa kauli hiyo in Serikali...
Silaha ya mwanadamu ni fikra na katika historia ya maendeleo ni fikra mpya ndio zilizofikisha wanadamu tulipo leo katika kuelezea maendeleo yetu.
Majuzi tumepeleka ‘James Webb’ telescope zaidi ya...
Mimi nimpenzi sana wamaswala ya kisiasa, popote pale huwa sijitengi na shughuli za kisiasa, lakini jambo lakushangaza tangu nimeripoti chuo X nimeona ni UVCCM tu wanakuja madarasani kutafuta new...
Mchungaji mwingira wa kanisa la efatha mwenge, LIVE kutoka kanisani kwake kupitia channel yake ya TRENET.
Anazungumzi Uzao wa kishenzi na wa kiungwana, katika kuzungumzia somo hilo ametamka pia...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Mwaka 2012 kulitokea jambo la kushangaza sana ndani ya CHADEMA lakini kama kawaida makada wa Chama Cha Mbowe walitetea na kutukana mno yeyote aliyekuwa...
Jana kwenye ibada ya mkesha wa kuupokea mwaka mpya uliooneshwa live star TV, Waziri Nyalandu alijitokeza wazi na kuongea kikampeni akiomba waumini wa dini ya Efata kumchagua kuwa Rais.
Isitoshe...