Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lengo la kuwekwa tozo lilikua ni nchi kujitegemea kwa makusanyo ya ndani na kupunguza mikopo kutoka nje. Sasa leo unasema mikopo sio mibaya na tutaendelea kukopa tu. Ikiwa ni hivyo kwa nini...
0 Reactions
2 Replies
443 Views
Nimeshtushwa na kugadhabaika sana kuona kiongozi wa dini akisema Ikulu kuna shetani. Nimeumizwa Sana na kauli hizo kutoka kwa mtu anayejiita mchungaji. Hii haipaswi kuachwa Kama ilivyo, ni...
22 Reactions
184 Replies
15K Views
Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni. "Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua...
35 Reactions
58 Replies
7K Views
Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana
1 Reactions
1 Replies
923 Views
ANDIKO la William Wordsworth “Character of the Happy Warrior” – “Sifa ya Mzalendo Jasiri Mwadilifu”, nitalitumia kama sehemu ndogo kujenga muktadha. Halafu nukuu “England Expects Every Man Will Do...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwigulu Nchemba, Kaka yangu, shikamoo, natumaini u mzima wa Afya wewe na familia yako. Cheo ulichonacho ulipewa na Mungu na siyo mwanadamu kama wewe uonavyo ktk macho ya Damu na nyama (physical...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
Salamu za Heri zinaendelea kumiminika. Hapa chini ni kutoka kwa nabii Mwingira: Salamu za kama hizi zinapoendelea kutufikia ni vyema kujitafakari. Ni wazi kuwa kama Taifa hatuko vizuri...
25 Reactions
167 Replies
16K Views
WAFAHAMU MANABII WALIOKAA JELA , (WENGI SABABU ZA KISIASA) Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kipimo namba moja cha Nabii au mtumishi wa Mungu ni HAKI, Ikiwa nabii au mtumishi wa Mungu hatakuwa na...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Naibu waziri Mwita Waitara akiwa Azam amesema alipata Covid ya wimbi la nne na kupona. Waitara amesema kwa kuwa alikuwa amechanja alipata dawa kidogo na kupona. Pia Waitara ameongelea mabasi ya...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Huyu alipoamia ACT wazarendo, alipotea mazima jaman yoyote mwenye Ubuyu wake atwambie jamani
0 Reactions
6 Replies
883 Views
Siku zote Taikon ni mtu asiye na unafiki, mapema ukweli mara nyingi. Hivyo ndivyo ninavyojitambulisha. Mimi sio Mfuasi wala mwanachama wa Chama chochote au mtu yeyote Yule. Kumaanisha nipo huru...
20 Reactions
144 Replies
11K Views
Serikali imekuwa ikijinasibu kuwa hatuna mgonjwa hata mmoja wa variant mpya: Lakini kote kushoto na kulia "ban" zinatuhusu: Russia completely bans travel from Botswana, Zimbabwe, Hong Kong...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Shujaa mpenda haki ametutoka. Tributes kwa maisha yaliyopotea zinapoendelea kumiminika tuna mengi ya kujifunza. Hizi hapa ni za Mh. Samia: Salamu hizi zimewaamsha watema nyongo kwa misingi...
13 Reactions
52 Replies
4K Views
Uwepo wa mustakabala mpya wa mahusiano baina watu na watu pia watu na serikali hauwezi kudunishwa. Ni muhimu kuzipitia sekta mbalimbali katika kuamshana kwenye harakati hizi takatifu. Tuanze...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
16 Reactions
276 Replies
28K Views
Piga hesabu wabunge wa majimbo wote, wabunge wa kuteuliwa wote, wabunge wa viti maalumu wote jumlisha mawaziri na manaibu mawaziri angalia hotuba zao. Wangekua wanaanza, Namshukuru Mwenyezi Mungu...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Afya ndio msingi wa maisha yetu. Bila kuwa na afya hakuna Jambo linaweza kuwa sawa kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa. Kwa hali inayoendelea sasa nchini ya watu kupatwa na mafua na homa kali...
1 Reactions
4 Replies
628 Views
Wanaharakati wa Kamati ya Kimataifa ya kutetea Wanahabari (CPJ), Angela Quintal na Muthoki Mumo, wamefunguka mazito kuhusu kilichowatokea siku walipovamiwa hotelini na watu waliojitambulisha ni...
35 Reactions
285 Replies
36K Views
Wasalama. Hakika viongozi takribani wote ndani ya ccm ni wazandiki na wanafika wanasimamia matumbo yao. .
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Naomba tujikumbushe, kwanini kwa matamko haya tusiidai katiba? MSIWABATIZE WATU KWA JINA LA UGAIDI,KISA ....
0 Reactions
2 Replies
584 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…