Leo asubuhi tu nimepishana kwenye ofisi zakeHuyu,alipoamia ACT wazarendo,alipotea mazima jaman yoyote mwenye Ubuyu wake atwambie jaman.
uko sahihi mkuu halafu akaiondoa.Huyu kubenea si ndo aliyefungua kesi ya jinai dhidi ya Makonda au kumbukumbu zangu haziko sawa?