SALUTI
(a) Je, ni nini maana ya kitendo cha kupiga saluti kinachofanywa na askari?
(b) Je, ni askari wa ngazi gani hupigiwa saluti?
(c) Je, ni maafisa/viongozi wa ngazi gani uraiani katika...
Katika pitapita yangu huko twitani nimeona habari nyingi lakini ilionikonga nyoyo ni hii ya Meya wa Moshi Juma Raibu kutoa mbuzi kama hamasa Kwa watumishi wa umma kadhaa waliosimamia ujenzi wa...
MIEZI NANE BILA JPM;RAIS MAGUFULI, ALAMA,UTAMBULISHO,KIELELEZO NA MWAKILISHI WA WATANZANIA.
Leo 10:35hrs 17/11/2021
Nianze kwa Ushauri,na huu ndio ushauri wangu;Pamoja na Uzalendo uliopitiliza...
Wasalaam wadau,
Jamani tupo katika zama mbaya sana kisiasa katika taifa hili, imekuwa ni mabishano ya vurugu tupu bila hoja zenye misingi.
Huyu anasema hivi yule anasema hivi na hakuna...
Kusema ukweli sioni sababu ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwepo huku pembezoni mwa mji kwenye vituo vya daladala kama vile Banana, Mombasa, Gongo la mboto, Mbagala, Mbezi etc...
Serikali imeanza majadiliano na Benki ya Dunia ili kupata mkopo wa kugharamia ukarabati na upanuzi wa Viwanja vya Ndege 11 kwa kuzingatia mapendekezo ya ripoti ya upembuzi yakinifu na usanifu wa...
Binadamu tumeumbwa kuwa na kinyongo kwa wale ambao tunahisi hawatufanyii mazuri
Saikolojia ya Spika Ndugai imeathirika baada ya SSH kufanyia shughuli nyingi za kitaifa Dar es salaam kuliko...
wakuuuuu
Mwaka 2021 ndio unaelekea kuisha na tunaingia 2022 kwa uweza wa Mungu
Katika mwaka 2021 nchi yetu ilitikiswa na matukio makubwa yafuatayo
1. Kifo cha rais wa awamu ya 5, Hayati John P...
Waziri wa Afya Dkt.Dorothy Gwajima, amepokea Chanjo za Moderna chini ya Mpango wa COVAX hii ikiwa ni Awamu ya Kwanza kwa aina hii ya Chanjo kuingia nchini kiasi cha dozi 376,320 ambazo...
Hapa sasa ndio nakubaliana na yule Kigogo 2014 aliyesema Katiba mpya haiwezi kuletwa na wanasiasa bali italetwa na wananchi.
Zitto Kabwe anasema tunapaswa kupata tume huru ya uchaguzi badala ya...
Baada ya nchi kupita kwenye majonzi na uzoefu tofauti wa kufiwa na rais aliyeko madarakani yaani hayati Magufuli.
Sasa ni dhahiri wapinzani wake wameshaelewa utawala wa Samia. Kama ilivyo kwa...
Wakuu ningependa kujua hili na kupendekeza kama inawezekana serikali yetu chini ya utawala wa Mheshimiwa raisi wetu
Inaonaje mkopo unaokuja au wanaofikiria kukopa watukopee kwanza sisi wananchi...
Baada ya RPC wa kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Murilo kutoa mwongozo wa kuhojiwa kwa Mtume na Nabii Mwingira ndani ya Masaa 24 , baada ya kauli yake ya kishujaa iliyofichua uozo uliotendwa...
Ukweli ulio wazi ni kuwa maraisi wote walipingwa vikali ndani na nje ya chama Wala Samia sio wa kwanza na hatakua wa mwisho.
Nyerere alipingwa,
Mwinyi alipingwa tena hadi ma Nyerere ambae...
Hapa namaanisha kodi halali sio ya uonevu! Hakuna taifa lolote linaloweza kufanikiwa bila kuwa na sera na taasisi imara ya kusimamia kodi na ukusanyaji wake!
Kauli ya mama Samia kipindi...
Wananchi wilayani Nachingwea mkoani Lindi waliouziwa ardhi katika vijiji mbalimbali kuanzia mwezi Juni 2020 mpaka Disemba 2021 wametakiwa kurudisha Ardhi hiyo kwani mauziano hayo ni batili.
Kauli...
Kwa speed hii wanayokwenda nayo, nashawishika kuamini kuwa Bado siku chache sana tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya.....
Wenye chama Chao watajitokeza mapema tu, hakika vita vya panzi...
Kiukweli kwa sasa tumebakia na jina la CCM ila itikadi na misingi yake ilishapitwa na wakati ndio maana Nyerere aling'atuka.
Kikwete alijaribu kuiunda upya CCM kwa kuivua gamba lakini...
Bila shaka Ndungai alidhamiria kusema alichosema kwa kuisema serikali. Nnadhani Sasa SSH aanze kusuka watu watakaoliongoza Bunge muda si mrefu, au baada ya uchaguzi wa 2025, Tulia, kaa kwa...
Kumekuwa na taarifa juu ya deni la taifa kufikia Trillion 70+ Spika wa bunge amesikika akisema deni la Taifa limefikia Trillion 70, Zitto Kabwe nae alidai adi kufikia mwezi February 2021 deni la...