Makada wa CCM waliofarakana na sare za chama

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Mojawapo ya sifa za msingi za uzalendo ni kuziishi mila na desturi za ama nchi yako au chama chako au kikundi chako chochote unachoamini katika falsafa na maslahi yake. Wafuatao ni makada nguli wa CCM ambao hawaamini katika falsafa ya vazi rasmi la Chama Cha Mapinduzi.na haijajulikana sababu ni nini ya kutoamini katika vazi hilo:-

1640435780700.png

Jaji Joseph Sinde Warioba.
1640436389007.png

Hahahaaa... Mzee Warioba, leo umevaa sare ya chama? Baghosha! Ila imekupendeza sana, uwe unavaa mara kwa mara, CCM hoyee...


Joseph Wellema Butiku (The Fire Brand Butiku).

1640439106030.png



Julius Kambarage Nyerere.

1640438708746.png



Je, Wazanaki wana shida na sare ya CCM?
 
Back
Top Bottom