CHADEMA yaanza kumimina salamu za heri ya Christmas kwa Watanzania wapenda haki

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,204
217,160
Hizi ni salamu mchanganyiko kutoka vitengo mbali mbali, ikiwemo Bavicha na Chadema Digital, ni salamu za baraka kutoka Chadema kwenda kwa Wananchi wote wapenda haki tu.

Hizi ni salamu kwa wale wanaojitambua tu, wale wanaofahamu umuhimu wa KATIBA MPYA, kama hutaki katiba mpya tafadhari usipokee salamu hizi.

We_wish_you_Merry_Christmas....%C2%A0lis%C3%A4%C3%A4.jpg
Baraza_la_Vijana_Chadema_(Bavicha)_linawatakia_vijana_wote_na_watanzania_kwa_ujumla_kheri_ya_s...jpg
 
Hizi ni salamu mchanganyiko kutoka vitengo mbali mbali, ikiwemo Bavicha na Chadema Digital, ni salamu za baraka kutoka Chadema kwenda kwa Wananchi wote wapenda haki tu.

Hizi ni salamu kwa wale wanaojitambua tu, wale wanaofahamu umuhimu wa KATIBA MPYA, kama hutaki katiba mpya tafadhari usipokee salamu hizi.

View attachment 2055831View attachment 2055833
Mpelekee chairman!
 
Wewe ni kisebengo wa Chadema
 
Wakati maccm wao wapo wanapeana vichapo kisa maslahi yao.
20211215_110418.jpg
 
Back
Top Bottom