KAYABOMBICHI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 296
- 142
Safari ya Siyoi na wenzake kina Kitilya huenda ikawa imeanza kwani sasa kesi yao imehamishiwa Mahakama ya Kisutu.
Huu huenda ukawa ni mwanzo mzuri wa ahueni kwao!
========
Asam said;
Siyo hivyo mkuu!
Iissue ipo hivi: Ile kesi kulikuwa na dosari za kisheria kuu mbili iliyofanya kurudishwa Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya marekebisho ambazo ni:
1. Ni kutoonekana jina la mshitakiwa namba tano akisomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo vilivyowasilishwa mahakamani hapo.
2. Dosari nyingine ni pamoja na amri ya mahakama kutoorodhesha majina ya washitakiwa kwa mujibu wa kanuni za mahakama kuu kitengo chamakosa ya rushwa na uhujumu uchumi.
Hakimu mkazi mkuu, Huruma Shaidi amesema atafanyia marekebisho hayo na kurudisha jalada la kesi hiyo leo Mahakama Kuu kitengo cha makosa ya rushwa na uhujumu uchumi kwa ajili ya kuendelea na taratibu nyingine.
Kesi hiyo itaendelea Machi 13 Mahakama Kuu kitengo cha Nakosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.