Umri wa Lowassa una utata mtupu. Eti ni mdogo kwa Kikwete?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Hili suala la umri wa Lowassa lina ukakasi,ifike pahala aseme umri wake sahihi.Taarifa zilizopo kwa umma ni kuwa alizaliwa mwaka 1953.

Nikimlinganisha na baadhi ya wanasiasa wafuatao initia ukakasi;

Jakaya Kikwete 1950
Anne Makinda 1945
Dr.Wilbrod Slaa 1948
Amani Karume 1945
Andrew Chenge 1947

Hao wote kumri wamemzidi Lowassa, japo ni watu wa makamo lakini nyuso zao na Lowassa wanaonekana wadogo.

Pili,JK alimalize UDSM mwaka 1975,inasemekana na Edward walimaliza pamoja.JK alikuwa na miaka 25 na Lowassa akiwa na miaka 22.Inamaana Edo aliruka madarasa hadi kumaliza chuo kikuu katika umri wa miaka 22?

Kwa mwenye taarifa zenye kuonyesha umri wa Lowassa aweke hadharani, kwani shule ya msingi miaka 8, O-level 4, A-level 2, JKT mwaka 1 chuo 3 jumla miaka 18 ya elimu, Je alianza shule na miaka 5?

Wenye kujua hili naomba taarifa wakuu.Nia ya hoja hii si kumfungulia mashtaka au kumuondolea haki ya kuwa mwenyekiti chadema au kugombea urais bali ni kuweka kumbukumbu sawa
 
Hili suala la umri wa Lowassa lina ukakasi,ifike pahala aseme umri wake sahihi.Taarifa zilizopo kwa umma ni kuwa alizaliwa mwaka 1953.

Nikimlinganisha na baadhi ya wanasiasa wafuatao initia ukakasi;

Jakaya Kikwete 1950
Anne Makinda 1945
Dr.Wilbrod Slaa 1948
Amani Karume 1945
Andrew Chenge 1947

Hao wote kumri wamemzidi Lowassa, japo ni watu wa makamo lakini nyuso zao na Lowassa wanaonekana wadogo.

Pili,JK alimalize UDSM mwaka 1975,inasemekana na Edward walimaliza pamoja.JK alikuwa na miaka 25 na Lowassa akiwa na miaka 22.Inamaana Edo aliruka madarasa hadi kumaliza chuo kikuu katika umri wa miaka 22?

Kwa wenye taarifa zenye kuonyesha umri wa Lowassa aweke hadharani, kwani shule ya msingi miaka 8, o-level 4, A-level 2, JKT mwaka 1 jumla miaka 17 ya elimu, Je alianza shule na miaka 5?

Wenye kujua hili naomba taarifa wakuu.
Kwani wewe ndiye uliyemzaa?.
 
Back
Top Bottom