Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amewataka Watumishi wa Shirika la umeme Tanzania ( TANESCO) pamoja na REA, kufanya kazi kwa kasi, kwa ubunifu na kwa usahihi ili kuhakikisha vijiji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wote tumeona spika alivyoshushiwa spana na wakuu wa dola pamoja na wale wengine kwenye chama. Hebu tujiulize kidogo, mnapomuondoa spika kwa kutimiza wajibu wake mnapeleka ujumbe gani kuhusu bunge...
0 Reactions
7 Replies
789 Views
Katibu wa Bunge huteuliwa na Rais, na ndiye humwapisha, hatakubali ratiba iingie Bungeni ya kumhujumu SSH, atatoa taarifa mapema ili mapambano yaanze. Askari wa Bunge wanatoka kwenye majeshi...
6 Reactions
31 Replies
6K Views
=== Chama Cha Mapinduzi Tanzania ambacho ndio Chama Tawala cha nchi hiyo kimewatakia heri Wananchi wa nchi hiyo katika kuufika mwaka mpya wa 2022, CCM chini ya Mwenyekiti wake Mhe Samia Suluhu...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Sina budi kupongeza serikali kwa hatua mbalimbali za kutulea. Hapa nakusudia serikalika za awamu zote. Pamoja na pongezi hizo, napenda kukumbuka usemi wa wahenga hapo juu. Mashirika yetu yote ya...
1 Reactions
5 Replies
713 Views
Machi 26 mtendaji mkuu tanload alisema Daraja la Wami litakamilika Sept 2021. Kwa mujibu wa Mwananchi, Leo Serikali inakuja na Lugha nyingine. Kwanini tunafanywa watoto Miaka miwili nyuma...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuwepo kwa sintofahamu na mwendelezo wa kauli tatanishi baina ya Wanachama wa chama cha Mapinduzi, CCM ni Jambo jipya linalowavutia wengi kujua mwisho wake. Baadhi ya watu hukitaja kitendo hiki...
0 Reactions
9 Replies
766 Views
Katika kitu Job Ndugai Anawahitaji wapinzani ni wakati huu! Leo nasema anajuta kuwa mmoja wa watu waliosababisha upinzani kipokonywa haki yao kuwabeza na kudharilisha, sasa leo yamemkuta ambayo...
34 Reactions
90 Replies
6K Views
🔰 TAMKO LA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA 🟢 Leo Tarehe 5 Januari,2022 kuanzia Saa 5:00 Asubuhi 🟢 Eneo Ofisi ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam #NyukiWaMama
17 Reactions
106 Replies
12K Views
Nimeona umepost video nyingine kwa kutumia ukurasa wa “Msemaji wa Serikali” ukidai katika Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2025 (National Development Vision 2025) ambao ulisainiwa na kuanza kutumika...
172 Reactions
440 Replies
39K Views
Wanabodi, Miaka mitano ya Rais John Pombe Magufuli si mingi. Itaisha muda si mrefu. Ninajua 2015 vijana wengi wa CCM walijitokeza kuutaka Urais wakiwemo January Makamba, Mwigulu Nchemba hata...
6 Reactions
88 Replies
9K Views
Kwakweli moto umewaka, na wanaounguliwa hawakuomba kusaidiwa kuuzima badala yake wameuchochea wenyewe na hivyo kwa sasa hakuna cha kuokoa tena ! Mawaziri Ni kauli imetoka kwamba lazima baraza...
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha...
27 Reactions
150 Replies
11K Views
Sakata la kurushiana maneno kati ya wakuu wa mihimili linaloendelea linatoa funzo kuhusu mambo yafuatayo. 1. Madaraka makubwa aliyonayo Rais - Vyama pinzani waliteswa na wanaendelea kuteswa na...
4 Reactions
11 Replies
866 Views
"Kufafanua kauli si kubadili kauli" Hii imetokana na Spika Ndugai kumuomba msamaha Rais. Ndugai ameombaje msamaha ikiwa amesema waliosambaza wamepotosha. Je waliisambaza wameigiza sauti ya Ndugai?
18 Reactions
55 Replies
5K Views
Yatasemwa mengi na mtasikia mengi, ila issue kubwa ni watu kuutaka urais wa nchi hii mwaka 2025. Wakati Magu yuko hai, walikosa ujasiri wa kuonyesha hadharani mtatamani yao na kwa Mama, bado...
10 Reactions
52 Replies
4K Views
Viongozi mliopo serikalini mkae mkijua,kuwa linaloanza kutoa mvuke karibu litashika kasi,kinachohitajika ni tume huru ya Uchaguzi ,na hili halina mswalie Mtume,Hii kero imeshapevuka na sasa kama...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Nchi hii siku zote tunasemaga imejaa wanafiki wa kiwango kikubwa sana cha hali ya juu. Hawa wabunge wakati Mams anadhalilishwa na kusemwa vibaya na na Ndungai kuhusu Tozo na mikopo walikua kimyaa...
0 Reactions
7 Replies
955 Views
Vita hii ilikuwa ndogo Sana, ilitakiwa iishie ofisini tu na kwenye kamati za maadili ya chama. Lakini Sasa matamshi ya mama si tu yatufanya watanzania tuhamaki la Bali dunia nzima habari hii...
2 Reactions
7 Replies
793 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…