igweeeee
Hatimaye wale walioumizwa zaidi kuondoka kwa awamu ya 5 wanajitokeza kumpinga mama waziwazi
Ni akina nani wako timu mwendazake?
Hawa ni timu mwendazake
•Job Ndugai
•Polepol
• Gwajima
• Bashiru
Timu mama kwa sasa ndio yenye makali ikiongozwa na Jk kikwete

- Membe
- Kinana
- Makamba
- Nape