CCM inahusika na deni la Trilioni 70+ au lawama zinabaki kwa Marais tu?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,979
Watu wanaojadili deni la Taifa hasa baada ya JPM kufariki wanamtupia lawama yeye kwamba alikopa Zaid ya Trilioni 29 kwa miaka mitano tu akiwa ndiye Rais aliyekaa madarakani Muda mfupi Tanzania lakini akiongoza Kwa ukopaji kuliko Marais wore waliokaa miaka kumi na Mwalimu zaidi miaka kumi.

Wana CCM na wasio wana CCm hakuna anayekubali kutueleza uhusiano wa chama Cha mapinduzi kwenye deni hili. Je wakati JPM anakopa chama Cha mapinduzi kilikuwa kinajua? Kiliridhia? Kama kilikuwa kinajua na kuridhia lawama kwanini lawama zielekezwe kwa JPM au kwa sasa zielekezwe kwa Mhe. Samia?

Nini nafasi ya chama mapinduzi kudhibit ukuaji wa deni letu
 
Wanacho zingatia ni buku 7 zao tu, hayo ya deni la taifa ni kama hayawahusu kabisa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom