Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh. Job Ndugai kesha vunja ukimya. Majibu ya mama yamesikika. Wapi kasimama Ndugai kama yeye na washirika wake kinafahamika. Mama kasema kuna watuhumiwa wa uchaguzi wa 2025. Kwamba hao wote...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Huyu alipongeza kauli ya Job Ndugai , lakini leo kaamua kwenda na mapigo ya kinanda .
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Siamini kama yatakuwa mabadiliko ya bandika bandua. Baada ya kifo cha Rais Magufuli Rais Samia HAKUTAKIWA kurithi Baraza la Mawaziri. Baadhi tuliweka msimamo huu sahihi wa Kikatiba wakati ule...
11 Reactions
115 Replies
9K Views
Siasa si ushabiki, wala vita vya kisiasa si lelemama. Haipo shaka aina za kina Lissu, Mbowe na wa namna hiyo ni machampioni kweli kweli. Si haba pia kwa kina Polepole, Kinana, Makamba au kina...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Wasalaaam. Raisi SHH ataendelea kupasua kichwa juu ya viongozi wenzake mpaka pale atakapogundua kuwa serikali anayoiongoza asilimia kubwa ya watendaji wenye maamuzi makubwa ni wa kurithi kutoka...
2 Reactions
5 Replies
700 Views
Hii tamaduni ya marais wa nchi kugangamara kwa kila jambo hauna afya kwa taifa. Umeelekezwa, sikiliza. Rais sio Mungu, lazima ukosolewe ikibidi. Lazima nchi ijifunze kujitegemea. Huwezi kuwa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kufuatia matamshi makali na vijembe vizito vilivyotolewa na Samia dhidi ya Ndugai kiasi cha kuleta sintofahamu na kutafsiriwa kama jambo lenye kufedhehesha na kukidhalilisha kiti cha spika wa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimemsikiliza kwa makini Rais Samia Suluhu Hassan, akimpa "za uso" Spika Ndugai, kuhusu kile alichotufunulia ni kuwa ni mbio za Urais wa 2025, angalau kimebatizwa jina na hao mahasimu wake kuwa ni...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanataka kuunda serikali katika hali ambayo hawana umoja, hali ambayo wanachukiana sana.
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Habarini! Hii vita inayoendelea inaonyesha Jinsi gani watanzania ndio tuna shida kubwa na ndio sababu hatuendelei. Ndugai kasemea Juu ya jambo ambalo lina maslahi kwa Nchi lakini anakuja Mtu ana...
19 Reactions
94 Replies
6K Views
Baadaa ya kipigo kikali walichopewa kutoka kwa chuma,jiwe,the rate mwenyewe Jpm hatimae msoga gang inarejea taratibu Hadi kwenye uwaziri hapo tukiwa tuishamwona mmoja J makamba hatimae Nape Nauye...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kumnukuu Mh.Tundu Lissu katika hotuba yake kwa wananchi. Tundu Lissu anasema .......Kwa hiyo jumla ya madeni ya mwaka huu peke yake ni takriban dola bilioni 2.5, sawa na takriban shilingi...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Jana alisema leo Saa 5 atakuwa na jambo lake.. Hata hivyo ameahirisha ghafla mpaka Saa 9 alasiri.. Hii inanipeleka nyuma wakati Nape aliitisha press kama hii baada ya kuvuliwa uwaziri.. Baada ya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ugomvi wa Ndugai na Samia na akina Mwigulu haupo kwenye mkopo wenyewe hasa bali "Mgawanyo" wake ambao umeipendelea Zanzibar kwa kiwango cha kukufuru Na ni wepesi wa kusahau, lakini Ndugai...
23 Reactions
45 Replies
3K Views
Inawezekana kabisa washauri na actors mbalimbali ndani ya Serikali kwa sasa ni waamini wa mikopo. They might have good sweeter arguments for now. Lakini wazalendo wa kweli tutabaki na msimamo...
26 Reactions
62 Replies
3K Views
Ni utamaduni wetu huu, Baada ya kula kiapo tayari anakua na mamlaka lazima tumtii na kumuheshimu kama Rais wa Nchi, Pasitokee mtu yoyote kujifanya ana madharau yake kisa nafasi aliyopo na...
1 Reactions
8 Replies
747 Views
Ukimwona anavyozungumzia mambo ya wananchi humwoni kama ana utu na huruma. Mimi namfahamu shangazi yangu ambaye ameweka umeme kwa tsh 27,000 na majirani zake wengi. Mwaka jana mwezi wa kwanza...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
FRIDAY OCTOBER 22 2021 Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC), imesema deni la Sh45 bilioni inayodaiwa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga na Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma...
1 Reactions
3 Replies
810 Views
Katibu mkuu wa wizara ya fedha Emmanuel Tutuba amesema serikali imeipa PSSSF kiasi cha tsh trillion 2. Naye Mkurugenzi mkuu wa PSSSF Hosea Kashimba amesema kuanzia sasa wastaafu wote watalipwa...
8 Reactions
61 Replies
7K Views
Wenyewe wanasemaje? Habari za leo Friends of Bukoba. Hii hapa ni video ya watetezi wa Mkoa wa Kagera zidi ya hujuma za Mkoa wa Chato. Tunawashukuru wote walioshiriki ikiwa ni pamoja na: (1)...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…