Team msoga kurejea Kwenye mkeka wa Samia

kimfly

Member
Aug 27, 2021
12
29
Baadaa ya kipigo kikali walichopewa kutoka kwa chuma,jiwe,the rate mwenyewe Jpm hatimae msoga gang inarejea taratibu Hadi kwenye uwaziri hapo tukiwa tuishamwona mmoja J makamba hatimae
Nape Nauye
Ridhiwan kikwete ,huyu yeye inakuwa mara yake ya Kwanza kupewa wizara
Nahisi utakuwa hivi,nawasilisha
 
Karamu tamu hii
Screenshot_20220104-220254.jpg
 
Baadaa ya kipigo kikali walichopewa kutoka kwa chuma,jiwe,the rate mwenyewe Jpm hatimae msoga gang inarejea taratibu Hadi kwenye uwaziri hapo tukiwa tuishamwona mmoja J makamba hatimae
Nape Nauye
Ridhiwan kikwete ,huyu yeye inakuwa mara yake ya Kwanza kupewa wizara
Nahisi utakuwa hivi,nawasilisha
Tulieni tu, kulia ni kupokezana!!tena nyie ndio mtanyooka kweli kwani msoga gang hawatakubali tena kufanya kosa kama lile, la kuingiza MPOLIPOLI, ikulu, ambaye ni vulugu tupu!!sasa mtabaki yatima hadia mwisho wa dunia!!mala MEMBE huyo hahaaa!!pona yenu pindueni meza kibabe tu, labda kiingie chama kingine ndio mkose wote japo kwa siasa zetu ni ngumu sana!!
 
Baadaa ya kipigo kikali walichopewa kutoka kwa chuma,jiwe,the rate mwenyewe Jpm hatimae msoga gang inarejea taratibu Hadi kwenye uwaziri hapo tukiwa tuishamwona mmoja J makamba hatimae
Nape Nauye
Ridhiwan kikwete ,huyu yeye inakuwa mara yake ya Kwanza kupewa wizara
Nahisi utakuwa hivi,nawasilisha
Katiba na Sheria Rizimoko
 
Eti kipigo kikali
 
Ridhiwani na Nape wanajigonga sana kwa maza sijui watakumbukwa?
Nape akirejeshwa ule UTATU mchafu yaani ;
1. Mwiguluuu
2. Manyuzi
3. Nape
Timu majungu itakua imekamilika.
 
sasa Msoga warudi marangapi?..

shida yenu hamjui kusukuma kete wala what next, wenzenu wanaicheza game kila siku kwa hesabu..

Kwa taarifa yako, Msoga walikuwepo toka enzi za Marehemu tena na vyeo vikubwa sana huwezi amini..uzuri wao wanajua kudisolve, wavumilivu, subira na wana succession plan..
 
nikikusoma ulichoandika nacheka sana, kwa style hii mtapigwa sana na hao unaowasema..
 
sasa Msoga warudi marangapi?..

shida yenu hamjui kusukuma kete wala what next, wenzenu wanaicheza game kila siku kwa hesabu..

Kwa taarifa yako, Msoga walikuwepo toka enzi za Marehemu tena na vyeo vikubwa sana huwezi amini..uzuri wao wanajua kudisolve, wavumilivu, subira na wana succession plan..
Kabisa
 
Bora warudi nchi hii iwe na marndeleo na ajira za kumwaga Kama enzi za jk. Jpm hakujali kabisa ustawi wa watu yeye miundombinu tu hata mkifa shauri yenu. Ajira zote zilizimwa kipindi Cha jpm
Baadaa ya kipigo kikali walichopewa kutoka kwa chuma,jiwe,the rate mwenyewe Jpm hatimae msoga gang inarejea taratibu Hadi kwenye uwaziri hapo tukiwa tuishamwona mmoja J makamba hatimae
Nape Nauye
Ridhiwan kikwete ,huyu yeye inakuwa mara yake ya Kwanza kupewa wizara
Nahisi utakuwa hivi,nawasilisha
 
Hii nchi ni kama abiria waliomo kwenye mashua wanashangilia manahodha wanapigana kwa kuvunja vunja meli yao little do they know kwamba uharibifu huo ni meli kuzama hence maisha yao kuwa hatarini....
 
Back
Top Bottom