Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwamba makaburi ya halaiki taarifa zake hazijathibitishwa, ni upuuzi unaopaswa kupuuzwa Chande na Timu Ya Makada wenzake hawakuwahi hata kufika kunduchi kwa kondo wala hata hawapajui, Huwezi...
11 Reactions
13 Replies
340 Views
Kila siku naangalia hali ilivyo nchini, na kuona tabaka la viongozi wa nchii hii ni kama sikio la kufa, hawajifunzi kutokana na yaliyotokea. Bado wanadanganya watu, wanafanya ufisadi na wanajiona...
21 Reactions
51 Replies
954 Views
Rais Samia amesema; "Mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu...
2 Reactions
55 Replies
2K Views
Hivi ile tume ya uchunguzi imetumia bilion ngapi za walipa kodi kwa kipindi cha miezi 5. Iweje kuna mambo wameshindwa kuchunguza? Kwa mfano wanaposema matundu yaliyokutwa kwenye miili ya...
9 Reactions
10 Replies
322 Views
Sasa ni wakati wa kupona, kuwajibika na kusonga mbele kwa umoja. Ripoti hii ni hatua ya mwanzo ya mustakabali imara. #RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
0 Reactions
2 Replies
125 Views
Wakuu, Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar...
3 Reactions
28 Replies
631 Views
Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Sasa ni wakati wa kupona, kuwajibika na kusonga mbele kwa umoja. Ripoti hii ni hatua ya mwanzo ya mustakabali imara.#RipotiYaChande Tume Ya Uchunguzi
0 Reactions
2 Replies
108 Views
Rais Dkt. Samia alisema: "Hili ni janga na doa kubwa kwa Taifa letu." Alisisitiza kuwa kazi ya Tume imeiwezesha nchi kupata uelewa sahihi wa kilichotokea, ikijumuisha uchambuzi wa kina uliotokana...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema ameipokea kwa furaha Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani, akisema imekuwa sehemu ya kuponya...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Mtangazaji (Sky News): "Serikali haikuwa na wajibu [wa vifo vya waandamanaji]?" Balozi Nyalandu: "Serikali haikuwa na wajibu wa vifo vya waandamanaji. Serikali ilikwenda kulinda kila mtu. Ilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Waziri wa Sera, Bunge na Uratibu, Profesa Palamagamba Kabudi, ametangaza mwelekeo mpya wa serikali katika kushughulikia hali ya kisiasa nchini, akisisitiza kuwa Tanzania inatarajia kupata Katiba...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Huyu ndio Kiongozi WA kuigwa afrika
7 Reactions
5 Replies
243 Views
Baada ya ripoti hii kutoa idadi ya mamia ya watu waliouwawa Oktoba 29 , ICC si watakuwa wamepata sababu nyingine ya kuchunguza haya mauji ukizingatia hiyo idadi? Na kwa Samia mwenyewe kusema...
6 Reactions
14 Replies
509 Views
Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika...
0 Reactions
45 Replies
852 Views
Hamjambo wote! Sina mengi ya kusema zaidi ya Nuru ndogo (ya kibatari) haiwezi kufukuza Giza la eneo kubwa. Nuru iongezwe ili Giza lisiweze kusimama mbele ya uso wa nchi. Nataka niwaambie huwezi...
8 Reactions
17 Replies
396 Views
Hawa MaProfesa ninao waona kwenye uwaziri na Wengine mulioko hapo Ikulu. Hamuna uwezo wa kuanzisha darasa kwa Samia Ili mumusaidie walau ajue uongozi? Mbona mmemuacha tu kila siku yeye ni...
4 Reactions
6 Replies
243 Views
  • Redirect
Tume imetoa mapendekezo ya kuimarisha amani na uwajibikaji. Rais ameahidi kutekeleza ili kuepuka kurudia matukio. "Tumegusa kaa la moto na tumejifunza" – hii ni dhamira mpya ya kujenga Taifa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa...
0 Reactions
4 Replies
201 Views
Katika mafundisho ya Qur’an, Siku ya Hukumu (Yawm al-Qiyāmah) ni siku ya mwisho ambapo haki kamili ya Allah itadhihirika kwa ukamilifu usio na mfano. Moja ya hekima kubwa ya siku hii ni kuonyesha...
4 Reactions
6 Replies
180 Views
Back
Top Bottom