Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza nimpe pole Speaker mstaafu kwa yaliyompata. Na hili liwe funzo kwetu kuwa unapokuwa na madaraka usiumize upande mmoja huwezi kujua kesho itakuwaje. Kuna observation nimeipata kutokana na...
2 Reactions
3 Replies
628 Views
Je Rais Samia kama Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar amewahi kutembelea Pemba? Au wapemba si watu???
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwigulu Nchemba atazimudu siasa za wizara ya ulinzi kama tetesi zinavyosema au ndo atakwenda kupeleka siasa za wizara kwenye Jeshi? Kwangu mimi huyu si mtu sahihi kwa wizara ya ulinzi. Mzee...
14 Reactions
150 Replies
17K Views
Mapokezi ni babkubwa Mama yetu Mkuu wa Nchi na Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania nzima Mama Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Rasmi atatua Visiwa vya Karafuu kule Pemba kwa ajili kilele...
6 Reactions
55 Replies
5K Views
Yaani watu tunashangilia kujiuzuru kwa ndugai kisa kahoji mikopo Dah hiyi nchi ngumu sana Kabisa serious tunafurahia na tulipiga Na makelele ajiuzuru ajiuzuru kisa tu kwa kuwa historia Yake ya...
19 Reactions
54 Replies
3K Views
Nchi yetu hii ilifikia hatua nzuri sana ya watu kuwa huru kutoa mawazo yao,bahati mbaya baada ya Jakaya Kikwete kutoka madarakani tulianza kutunga sheria kali dhidi ya wenye mawazo kinzani. Wenye...
1 Reactions
0 Replies
722 Views
Ndani ya CCM ulizaliwa mfumo wa wabunge kupita kwa hisani ya Mwenyekiti, mfumo huu unakenda kuzima mabishano ya hoja. In long-run hakutakua na kiongozi nchini atakayetoboa bila kumnyenyekea...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwanza nieleze kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi kuna mihimili 3 katika nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama, ambayo inatakiwa kufanya shughuli zake bila kuingiliana, katika kile...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Makamu wa Rais Dr Mpango ameitaka idara ya uhamiaji kutowasumbua wananchi wanaoishi mipakani kwa madai ya kutokuwa raia bali wafanye kazi kwa weledi na haki Dr Mpango ametoa agizo hilo mkoani...
7 Reactions
59 Replies
5K Views
Leo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa. Sababu za...
35 Reactions
203 Replies
18K Views
Wana JF. Giza Nene lenye bundi limemfunika bwana Jobo, kakutana na mabundi wasiokuwa na huruma. Haya yote ni matokeo ya kulazimisha kila kitu kiende kigizagiza kwa kukanyaga katiba. Mabundi...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanabodi, Spika ndugai anachanganya sana mambo, Hawezi akajilinganisha na MJ Assad kabisa Chuo kikuu cha Dar es Salaam tangu kianzishwe hao maprofessa wa accounting wazawa hawajawi kuwepo...
70 Reactions
95 Replies
12K Views
Wanabodi, Mada hii ni kutokana na kongamano la kujadili siku Mia moja za Rais Mama Samia Suluhu Hassan, Wasimamizi wa taasisi zote kwa kuzitaja TRA, Bandari, TCRA na Uhamiaji wamejitokeza kwenye...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni maneno makali sana lakini hayana tafsiri ya kufariji mtu kwa kumwambia kwa lugha ya Kiingereza au Kiswahili Mazuzu ni watu ambao hawawezi kusimamia misimamo yao binafsi, Mazuzu mara nyingi ni...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
CHADEMA MPYA YA MWENYEKITI HALIMA MDEE KUZALIWA MIEZI MITATU IJAYO NDANI YA CHADEMA YA SASA. Leo 22:20hrs 28/11/2020 Phase IV ya "the art of political war" kama inavyotafsiriwa kwenye stage 10...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakati Tundu Lissu kapigwa risasi ukashiriki kumnyima Pesa za matibabu,ukidai hujui alipo, ukashiriki kumfutia ubunge na kuitisha Uchaguzi kwenye Jimbo lake,ulidhani unamfurahisha Mungu au...
19 Reactions
21 Replies
2K Views
Watu wengi, especially wafuasi wa CHADEMA, wameonesha kupofushwa na chuki zao dhidi ya viongozi fulani kiasi cha kupoteza objectivity katika kupima nguvu ya hoja zinazotolewa na hao viongozi...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Rais Magufuli leo ametembelea msikiti mkuu wa waislamu wote nchini uliopo kinondoni jijini Dsm. Rais Magufuli amepokelewa na Mufti mkuu Zubery Aboubakar Rais Magufuli ameahidi kumuandikia barua...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
Tukubali kwamba wapo watu katika Hali yakibinadamu wamedhalilika kutokana na namna walivyohudumu awamu ya tano na wanavyopaswa kuhudumu awamu ya sita. Watu hawa walijitwalia utukufu na heshima...
45 Reactions
101 Replies
8K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la ma GT, hivyo hatutataji majina na naomba usitaje jina lolote!. Hatua ya kwanza ni sikiliza kauli hii Hivi hata baada ya kauli kama hii, kama wewe ni mtu mzima na...
24 Reactions
371 Replies
68K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…