Haki ya Mungu Watanzania tumerogwa

Ndenji five

JF-Expert Member
Nov 1, 2021
1,985
3,080
Yaani watu tunashangilia kujiuzuru kwa ndugai kisa kahoji mikopo Dah hiyi nchi ngumu sana

Kabisa serious tunafurahia na tulipiga
Na makelele ajiuzuru ajiuzuru kisa tu kwa kuwa historia Yake ya nyuma ilikuwa mbovu muda mwingine hata saa mbovu inasema ukweli

Kuna muda hadi machozi ya nani toka kuona watanzania wenzangu jinsi tulivyo pigwa kipapai nazani alie tuloga kafa

Na mwingine kwa ujasiri anasema rais aliyepita ndie raisi aliyeongoza kwa kukopa kuliko wote vipi huyu yupo nje
Ya madaraka si bado muda wake unapima kwa vigezo vipi ? Mpaka unatoa kauli kama hiyi

Mnaniacha hoi sana watanzania wenzangu hiyi nchi ngumu ngoja tu nitafute viza

Kwa tabia hii ya mama enu kila atayeonesha kutaka kiti chake atakuwa adui yake
Sasa ndio siasa gani sasa hizi?

Umeme umepanda,mafuta juu,pembejeo juu, nk

Alafu watz kwa akili zetu hatuoni hayo tunakenua meno kushangilia

Mmerogwa nyinyi sio bureee
 
Yaani watu tunashangilia kujiuzuru kwa ndugai kisa kahoji mikopo Dah hiyi nchi ngumu sana

Kabisa serious tunafurahia na tulipiga
Na makelele ajiuzuru ajiuzuru kisa tu kwa kuwa historia Yake ya nyuma ilikuwa mbovu muda mwingine hata saa mbovu inasema ukweli

Kuna muda hadi machozi ya nani toka kuona watanzania wenzangu jinsi tulivyo pigwa kipapai nazani alie tuloga kafa

Na mwingine kwa ujasiri anasema rais aliyepita ndie raisi aliyeongoza kwa kukopa kuliko wote vipi huyu yupo nje
Ya madaraka si bado muda wake unapima kwa vigezo vipi ? Mpaka unatoa kauli kama hiyi

Mnaniacha hoi sana watanzania wenzangu hiyi nchi ngumu ngoja tu nitafute viza

Mmerogwa nyinyi sio bureee
Hiyi=Hii
 
Kwani yeye alikuwa anawafanya nini wabunge/watu waliokuwa wakihoji mwenendo wa serikali awamu ya 5?, alimfanyia nini CAG, prof assad? Hoja yake ina mashiko lakini kwa sasa watu hawaipi uzito sana, kutokana na aliyowatendea watu, akishirikiana na jiwe.kwani kama kweli Tz, ingekuwa na mihimili 3 iliyowazi wala hii haikuwa inshu kubwaa!!
Jpm anasemwa amekopa sana kwa kulinganishwa na awamu ya 3, na 4 tu, miaka 5, trilioni 29?!!ingefika 10, je?na huyu atapimwa tu, kibaya zaidi jiwe alikuwa anasema yeye hakopi pesa yote ni ya ndani?yule naye uongo ulizidi mno, ili kujijengea sifa za kipuuzi!!!
 
Mimi siyo mchumi lakini najua huwezi kuendelea bila ya kukopa. Ndiyo maana mataifa yote tajiri ndiyo yanayoongoza kwa kukopa. Toeni undungai kichwani
 
Kwani yeye alikuwa anawafanya nini wabunge/watu waliokuwa wakihoji mwenendo wa serikali awamu ya 5?, alimfanyia nini CAG, prof assad? Hoja yake ina mashiko lakini kwa sasa watu hawaipi uzito sana, kutokana na aliyowatendea watu, akishirikiana na jiwe.kwani kama kweli Tz, ingekuwa na mihimili 3 iliyowazi wala hii haikuwa inshu kubwaa!!
Jpm anasemwa amekopa sana kwa kulinganishwa na awamu ya 3, na 4 tu, miaka 5, trilioni 29?!!ingefika 10, je?na huyu atapimwa tu, kibaya zaidi jiwe alikuwa anasema yeye hakopi pesa yote ni ya ndani?yule naye uongo ulizidi mno, ili kujijengea sifa za kipuuzi!!!
Sawa mkuu "asie na dhambi na awe wa kwanza kumpiga jiwe" ila sisi kwa kweli tumerogwa
 
Hiyo hoja ya spika iko sawa kabisa!!lakini shida ni matendo yake,ya kizandiki aliyowafanyia wenzake!!
Kwanini tutumie historia kuhukumu wakati misemo yetu inasema kutenda kosa si kosa jamaa kajua makosa yake kajirudi hivi mkuu adui yako akikwambia mbele unakokwenda kuna simba utamdharau kwakuwa kasema yeye?
 
... Hapana, usitusemee wote ndugu!
... si wengine tumeshangilia kuondoka kwa mdau mkuu wa kudhoofisha vyama mbadala bungeni! ... hatujasahau aliyomfanyia Lissu, ... hatujasahau alivyojitwika zigo la COVID -19 kinyume na matakwa ya CHADEMA YETU! ... HATUJASAHAU NA HATUTASAHAU!
AENDE ATOKOMEE!
 
Back
Top Bottom