Dkt. Mpango: Uhamiaji msiwasumbue wananchi wa Kigoma wanaoishi mipakani mkiwatuhumu kuwa siyo raia!

Mpango ana uhakika gani kila mwananchi wa Kigoma ni raia wa Tanzania?

Awaache uhamiaji wafanye kazi yao, kama akipatikana mtu asie raia arudishwe kwao.

Hiki alichokiongea ni kama vile anaona wananchi wa Kigoma wanaonewa, hii mentality anayo hata yule kiongozi wa chama cha upinzani anaetokea huko.

Jiografia ya Kigoma inasababisha muingiliano mkubwa kati ya watanzania na warundi.
 
Tutapata shida sana na hawa wahutu walioingia katika serikali yetu!
 
Warundi walikuwepo na wataendelea kuwepo Kigoma.

Ufumbuzi ni kutoa elimu na kubuni njia ya kuwapa uraia wakitaka.
 
Back
Top Bottom