My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,336
Wakati Tundu Lissu kapigwa risasi ukashiriki kumnyima Pesa za matibabu,ukidai hujui alipo, ukashiriki kumfutia ubunge na kuitisha Uchaguzi kwenye Jimbo lake,ulidhani unamfurahisha Mungu au Shetani?
Hakujua kuwa unatenda Dhambi ambayo huwa lazima uilipie?
Hukuwa na makosa kabisa kumshauri Rais,na kumweleza ukweli, kwanini amekazana kukopa huku akiwakamua Kodi kubwa wananchi?
Ndugai,umetenda maovu mengi mno ambayo Mungu asingeweza kukuacha salama.
Haya,ulisimama kuipigania CCM yako huku ukiumiza watu wasio na hatia, CCM hiyo uliyokuwa ukiitetea kwa nguvu zako zote ndo hiyo hiyo imekugeuka.
Ndugai ulisahau kuwa ndani ya CCM Rais ni mungu mtu huwa hakosei?
Pole sana, this is a lesson to all evil doers that the Devil has no friend.