Archbishop Tutu, na siyo Bishop Tutu kama alivyoandika

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,957
28,436
Salamu za pole kwa waafrika kusini lazima zitazua gumzo maana Rais Chief Hangaya kaandika tu Bishop Tutu wakati wenzake wote duniani wameanza na cheo chake Archbishop yaani Askofu mkuu, angalia watoa salamu za rambi rambi wote wameandika Arch sasa Mama alisema Rais hakosei mbona kutype tu keshakosea.
IMG_8823.jpg

IMG_8824.jpg
 
Salamu za pole kwa waafrika kusini lazima zitazua gumzo maana Rais Chief Hangaya kaandika tu Bishop Tutu wakati wenzake wote duniani wameanza na cheo chake Archbishop yaani Askofu mkuu, angalia watoa salamu za rambi rambi wote wameandika Arch sasa Mama alisema Rais hakosei mbona kutype tu keshakosea.View attachment 2059474
View attachment 2059475
Tatizo ni mfumo wa elimu. Ndio tunaishia kupata viongozi kama hawa.
 
Mie nadhani umefika wakati sasa Watanzania tuache kuangalia Kiingereza kama kigezo cha kuhukumu uwezo wa mtu kitaaluma.
Mbona wahindi wanaongea broken balaa na tuko comfortable kuwaajiri kama expatriate hapa nchini?

Kitu cha msingi tukipata maudhui ya mtu alitaka kumaanisha nini inatosha.
 
Sasa kama mtu anaandika jina la mtu na hajui preffix ni nini unataka tufanyeje
 
Tuwe makini: yawezekana hata hiyo A/C siyo yake. Wengi hutungaga A/C zao kwa majina ya Watu wakubwa au maarufu
 
Mie nadhani umefika wakati sasa Watanzania tuache kuangalia Kiingereza kama kigezo cha kuhukumu uwezo wa mtu kitaaluma.
Mbona wahindi wanaongea broken balaa na tuko comfortable kuwaajiri kama expatriate hapa nchini?

Kitu cha msingi tukipata maudhui ya mtu alitaka kumaanisha nini inatosha.
Nyoooo chawa na viroboto mnakimbia kujibu kwani nini Rais hakosei na anapuyanga tu.
 
Mie nadhani umefika wakati sasa Watanzania tuache kuangalia Kiingereza kama kigezo cha kuhukumu uwezo wa mtu kitaaluma.
Mbona wahindi wanaongea broken balaa na tuko comfortable kuwaajiri kama expatriate hapa nchini?

Kitu cha msingi tukipata maudhui ya mtu alitaka kumaanisha nini inatosha.
Apo issue sio English bali title ya mtu maana ata kiswahili huitwa askofu mkuu na sio Askofu.Apo issue ni umakini kwenye tasisi kubwa kama hii
 
Salamu za pole kwa waafrika kusini lazima zitazua gumzo maana Rais Chief Hangaya kaandika tu Bishop Tutu wakati wenzake wote duniani wameanza na cheo chake Archbishop yaani Askofu mkuu, angalia watoa salamu za rambi rambi wote wameandika Arch sasa Mama alisema Rais hakosei mbona kutype tu keshakosea.View attachment 2059474
View attachment 2059475
Kukiri kukosea ni alama ya weledi hekima na ukomavu.. Hakuna mkamilifu chini ya jua hivyo wote tunakosea
 
Salamu za pole kwa waafrika kusini lazima zitazua gumzo maana Rais Chief Hangaya kaandika tu Bishop Tutu wakati wenzake wote duniani wameanza na cheo chake Archbishop yaani Askofu mkuu, angalia watoa salamu za rambi rambi wote wameandika Arch sasa Mama alisema Rais hakosei mbona kutype tu keshakosea.View attachment 2059474
View attachment 2059475
Tafuta Post yangu baada ya kifo kutangazwa, hawamjui ndivyo nilivyosema.
 
Back
Top Bottom