Bunge laumbuka kisa tozo ya miamala

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Watanzania sasa wamepata uhakika wa nini bunge linafanya.

Kupitia spika wa bunge Job Ndugaye amesema kuwa tozo zote zilipitishwa na bunge kwa ulazima.

Watanzania watake wasitake miamala lazima itozwe tozo tu.
Hii kweli ni nchi huru inayo heshimu haki za binadamu.
 
Sijaona utata ila naona mantiki ya kile alichoongea ni sahihi tunahitaji kujitegemea isipokuwa uhakika wa hizo fedha zetu upo wapi..?

Mi sidhani Kama Kuna mtu anaweza kukataa kulipa hizo tozo swala ni hizo tozo zitumike kuleta maendeleo kweli na sio viongozi kujinufaisha matumbo yao tu.
 
Shule za sekondari madarasa mengi yanamashimo na vumbi. Madarasa yaliyojengwa kwa fedha za uviko yana malumalu. Yaan wanafunzi wengine wanakaa kwenye darasa lenye malumalu, wengine wanakaa kwenye madarasa yenye mashimo na vumb!!
Ubaguzi ndiyo ilani ya ccm
 
Watanzania sasa wamepata uhakika wa nini bunge linafanya.

Kupitia spika wa bunge Job Ndugaye amesema kuwa tozo zote zilipitishwa na bunge kwa ulazima.

Watanzania watake wasitake miamala lazima itozwe tozo tu.
Hii kweli ni nchi huru inayo heshimu haki za binadamu.
View attachment 2060116
Kauli ya Mhe. Inatoa picha ya Nini tutarajie huko tuendako...our house is not in order...tutafahamu mengi zaidi ukiwemo mtikisiko wa kisiasa...watch out
 
Watanzania sasa wamepata uhakika wa nini bunge linafanya.

Kupitia spika wa bunge Job Ndugaye amesema kuwa tozo zote zilipitishwa na bunge kwa ulazima.

Watanzania watake wasitake miamala lazima itozwe tozo tu.
Hii kweli ni nchi huru inayo heshimu haki za binadamu.
View attachment 2060116
Auze kwanza zile apartments zake ili tujenge madarasa ya mfano kule kongwa,si ndo maana halis ya kujitegemea?
 
Back
Top Bottom