Rais Samia vua umama Vaa Uraisi,niamini Mimi ww unauweza uraisi usitwambie we tufyeke tu

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Moja ya kauli ya Rais siku ya kushuhudia utiaji Saini za ujenzi wa reli ya kisasa ni hii

"Kuna mambo yameanza kujitokeza siku zi hivi karibuni lakini hukuwai kuyaona siku za nyuma enzi za mwendazake,Sasa nitaanza kuchukua hatua"

Hii kauli,Mh Raisi nilitaka nikujulishe yakuwa enzi hasa za utawala wa serikali ya awamu ya Nne, Kuna watumishi walikuwa na tabia za ovyo sana,nakumbuka Rafiki yangu mmoja alikwenda ofisi ya umma kipindi kile ile anafika akakuta mbinti mmoja mmbichi alikuwa secretary wa MH Waziri mmoja, yule bwana alipofika tu, mapokezi yule Binti aliachia USHUZI kwa nguvu.

Kwa kweli rafiki yangu alijiskia vibaya kuingia ofisi ya umma kukutana na USHUZI mapokezi, rafiki yangu aliumia maana ule USHUZI uliachiwa kwa nguvu na yule Binti alimwonesha dalili za wazi yakuwa. Alizamilia kufanya hivyo maana rafiki yangu anadai, yule Binti alidiriki kunyanyua KALIO kidogo Ili USHUZI upite barabara.

Tulifika hapo, enzi hizo, alipoingia Mwendazake Alichokifanya wewe ni shahidi, hakika watumishi walituhudumia hata kama ungemkuta amebanwa lazima angejibana mpk mteja uondoke.

Sasa kauli Yako ya Jana ni inshara yakuwa mambo yameanza kurudi kama mwanzo enzi hizo, tafadhali Mh Rais jiamini yakuwa wewe ni Rais, chukua hatua paspo kutwambia sisi wananchi, ukishindwa Mh Rais waruhusu wananchi wasjambiwe wachukue hatua wao, na nikwambie ukiruhusu Ili lazima watu watdundwa kweli maana mwendazake aliacha amejenga msingi ulio mwema kwa watu WA chini.

Tafadhali mfano wa USHUZI,unaweza kuwa ni kuombwa rushwa,kunyanyaswa,Wizi ambao watumishi wengi ulishirikiana na waliopo nje ya mfumo na mengine

Mh Rais,ww ni Rais Vaa gwanda la uraisi ufyeke majani ya uhani yanayolenga kukuchafua.
 
Rais Samia uongozi wako uwe lainj hivyo hivyo hatutaki mambo ya kuendeshana kigumu mpk maisha yanakuwa magumu.
 
Back
Top Bottom