Usahihi wa Takwimu za Mikopo Awamu ya 4, 5 na 6

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Watu wanapotosha sana kuhusu mikopo hasa kwenye awamu ya 5 u sahihi wake ktk source ya uhakika uko hivi.

Magufuli aliacha deni la $24,652M
Alilikuta deni ..... $15,261M

Samia amelikuta deni .. $24,652M
Kwa miezi hii kalifikisha..$28,054
1640786453206.png

1640786790908.png

1640786497495.png

1640786838399.png

Magufuli hata awe amekopa kuliko wote maana aliyofanya yanawazidi watangulizi wake wote,wao walitawala miaka 10,yeye miaka 5 tu.

Hangaya amekopa za nini tena?
Si mnadai anakusanya Kodi kuzidi Jiwe?
Tozo kila Kona zinafanya Nini?
RIP Jabali la Afrika.
 
GAVANA wa BOT kasema tukope tu bado tupo 42% ua UHIMILIVU wa kukopesheka
Japana inaongoza na kwa Afrika ni Angola
usikalie uchumi wako kopa na fanyia kazi
mwendazake alitudanganya Interchange ya Kijazi (Ubungo) ni pesa ya ndani kumbe Mkopo na pesa ni Japan
 
Hapo ni takwimu ya ukweli na mwenendo wa madeni ulivyo.
 
Tunachezeshwa picha la kihindi hapaa,yaani uwe prof,dr,mkulima,mfanyabiashara nk.
Wote tumewekwa mtu kati, director anaijua kazi yake vyema.
Naihurumia sana nchi yangu.
 
GAVANA wa BOT kasema tukope tu bado tupo 42% ua UHIMILIVU wa kukopesheka
Japana inaongoza na kwa Afrika ni Angola
usikalie uchumi wako kopa na fanyia kazi
mwendazake alitudanganya Interchange ya Kijazi (Ubungo) ni pesa ya ndani kumbe Mkopo na pesa ni Japan

Ubungo interchange ni pesa ya world bank , salender bridge ndio pesa ya japan husichanganye
 
Acha kufuru. Unamjua mtu anayeitwa Julius Kambarage Nyerere? 😡
Namufahamu huenda Labda simjui Kama unavyomjua wewe,ila ninachojua alifanya kazi kubwa ya kuweka misingi namuna gani taifa lingekuja kuwa,na alifanikiwa Sana.
Kwa habari za miundo mbinu Kama una data mwaga tu.
 
Back
Top Bottom