Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunakoelekea mambo yatakuwa moto kama Rais ataamua kusimamia yale anayoyaamini kuwa ni sahihi kwa taifa. habari za mitandao huko zinasema kuwa ziko harakati za kumkwamisha katika utekelezaji wake...
6 Reactions
73 Replies
5K Views
Kwanza nianze na chama tawala CCM, kwa hali ilivyo hadi sasa si shwari ndani ya chama cha CCM, kuna mpasuko mkubwa ,mpasuko huu umesababishwa na kutofautiana kiitikadi na misimamo. Kundi la kwanza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kwa mnaoulizia baada ya Ndugai kujiuzulu, nini kinafuatia? Inawezekana jibu ni kumeguka kwa CCM. Chama Kipya cha Umoja Party kipo malangoni mwa Msajili wa Siasa kwa minajili ya kupata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapa ni Jimbo la Nkasi ambako Kampeni ya kisasa ya usajili wa kidigital inaendelea Mungu ibariki Chadema
2 Reactions
1 Replies
419 Views
Wabunge walioingia mjengoni kwa Hisani ya mwendazake hawawezi kuwa na uchungu na wananchi wa majimbo yao wala nchi kwa ujumla. Na kwa maana hiyo hawawezi hata siku moja kukusaidia katika kuondoa...
4 Reactions
11 Replies
818 Views
Hakuwa ameandaliwa kama mbadala wa Nafasi hii zaidi ya nafasi ya usaidizi ili kuleta Gender balance, Tukio Lilitokea ghafra pasi na yeyote kutegemea, Aliyekuwa anaandalia na mkalia Nafasi ili...
11 Reactions
44 Replies
3K Views
Kila naposafiri huwa najikuta nakuwa mtu wa kuumia badala ya kuifurahia safari. Naumia kwa sababu nchi yetu kwa kiasi kikubwa ni mapori tena yanayostahili watu kuyaishi ukitoa hifadhi. Vimji...
0 Reactions
6 Replies
701 Views
Katika salamu zake za rambirambi, naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Tulia, amesema kuwa Spika wa Bunge amemtuma aje kuwakilisha kwasababu yeye (Spika) anaendelea...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais wa zamani wa Zambia Edgar Lungu anatajwa kuwa miongoni mwa viongozi wa kiafrika waliopenda kuabudiwa , ilifikia hadi Mawaziri kumpigia Magoti . Picha ya Chini akisindikizwa kuondoka Ikulu...
30 Reactions
77 Replies
7K Views
Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo...
18 Reactions
39 Replies
3K Views
Unajua nisiseme sana ila ndani ya chama chetu pendwa CCM kuna vita inaendelea hadi nadhani wenye akili wamebaki kucheka na kuwasubiria watu sehemu pia zisizo julikana Hivi unajuwa kwanini huyu...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakati Patrobas Katambi anaachana na Bavicha na kujiunga UVCCM alisema amechoka kutumika kama " Karai la kubebea zege" kule Chadema hivyo amekuja CCM kupumzika. Baadae nikamsikia Katibu mkuu wa...
0 Reactions
5 Replies
705 Views
CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo CDM watagombea nchini ubelgiji; ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Mama alipokea kijiti ch mwendazake baada ya mauti kumkuta Awamu hii inaisha 2025 maana yake utawala wa awam iliyoisha Mimi nadhan mama kama anataka kuwa raisi 2025-2030 basi anapaswa mwaka 2025...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
huyu jamaa siku hizi kama simwelewi yupo upande upi, inaonesha wakati anakabidhiwa usipka hakupata shule ya kutosha kabisa kutoka kwa bi mkubwa Makinda. mfano angalia hapo chini kauli 2 tofauti...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii kampeni #TwendeNaMajaliwa2025# ilikuwa chini ya Ayubu na wenzake. Ilikuwa imeshaanza kuota mizizi nchini kwani viongozi wengi wa chama na jumuiya pamoja na wabunge wengi wa CCM walikuwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba nitoe nasaha kwa watawala kujitahidi kuwa wastahimilivu kwa viongozi wenzao na wananchi wengine. Na pia wajitahidi kufuata sheria, kanuni na taratibu zinazotoa nafasi pia kwa wangine bila...
1 Reactions
3 Replies
756 Views
Mimi ni mkristu safi naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu Baba, Yesu kristu na Roho Mtakatifu, Mungu wangu ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye...
21 Reactions
156 Replies
12K Views
Naibu spika Tulia Mwansasasu tayari ni Mkristo mwanamke wa bara, inapendeza apika mpya awe mwislamu mwanaume hasa akitokea zanzibar
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Kiuhalisia huyu mmiliki wa jamii forum aliyepelekwa mahakamani na Meko ana nguvu na ustahimilivu wa Hali ya juu kushinda hata wa jobu ndugai, amefanya jamii forum kuwa platform huru sana na...
3 Reactions
6 Replies
735 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…