CHADEMA ilimalizwa na Magufuli, sasa tujielekeze kuidhoofisha ACT Wazalendo

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,380
1,241
CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo

CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama.

Mwisho, tukubali mazungumzo ya mezani na glass za juice tugongeane ila ktk utekelezaji tuvute gia ya usingizi. Hii ni kwa sababu watanzania wengi wana ugonjwa wa kusahau mapema.

Mwaka mwema kwenu wote.
Mimi ni
Syringe bila dawa
 
Kijani wao watagombea Burundi, kwani walisha tangulia kwa sababu ya tozo🤔.
 
CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo

CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama.

Mwisho, tukubali mazungumzo ya mezani na glass za juice tugongeane ila ktk utekelezaji tuvute gia ya usingizi. Hii ni kwa sababu watanzania wengi wana ugonjwa wa kusahau mapema.

Mwaka mwema kwenu wote.
Mimi ni
Syringe bila dawa
Umerukwa na akili ?
 
Utakuwa mgonjwa wa akili.CVM Haina uwezo wa kuiua CHADEMA.Imeshindwa mara zote na inajaribu kutumia msajili na kamati yake feki...
 
CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo

CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama.

Mwisho, tukubali mazungumzo ya mezani na glass za juice tugongeane ila ktk utekelezaji tuvute gia ya usingizi. Hii ni kwa sababu watanzania wengi wana ugonjwa wa kusahau mapema.

Mwaka mwema kwenu wote.
Mimi ni
Syringe bila dawa
You are not serious, umeandika tu ili kujifurahisha na maujinga yako, siku ya kifo ikifika hakuna wa kuweza kuzuiya
 
CCM ya Rais SSH iko imara baada JPM kufanya kazi ngumu ya kuimaliza CDM - sasa tujielekeze kuidhofisha ACT Wazalendo

CDM watagombea nchini ubelgiji;
ACT ndio waangaliwe kwa jicho kubwa. Lkn pia CCM tuikatae katiba mpya na tume huru ya uchaguzi - tukikubali hata NCCR waweza kuzika chama.

Mwisho, tukubali mazungumzo ya mezani na glass za juice tugongeane ila ktk utekelezaji tuvute gia ya usingizi. Hii ni kwa sababu watanzania wengi wana ugonjwa wa kusahau mapema.

Mwaka mwema kwenu wote.
Mimi ni
Syringe bila dawa
Kwa ichi ulichoandika kwel bila dawa
 
Ni kawaida ya binadamu akiiambiwa ukweli wa kisiasa hupinga - iko wazi kwamba CDM mlifanya makosa sehemu nyingi
(i). Kuwa viongozi Mungu watu - kiongozi anakaa madarakani kwa miongo kadhaa as if chama hakina succession plan;

(ii). Baadhi wanaharakati kuunga mkono ndoa za jinsia moja; huu ni utamaduni wa ajabu sana;
 
Hapo umechemka ndugu ngoja mikutano iruhusiwe ndiyo utajua uliyoandika hayana maana.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom