2025 Uraisi ndani ya CCM (mawazo yangu)

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,638
5,646
Mama alipokea kijiti ch mwendazake baada ya mauti kumkuta
Awamu hii inaisha 2025 maana yake utawala wa awam iliyoisha

Mimi nadhan mama kama anataka kuwa raisi 2025-2030 basi anapaswa mwaka 2025 achukue form ndani ya chama agombee na wengine waruhusiwe kuchukua form wapambane ili akishinda ndo awe mgombea wa chama

Mama nachoona anataka mtelezo(ganda la ndizi) hataki kupitia mchakato halisi wa chama ambao kila aliyekuwa raisi alichukua form na kupambana na wana CCM wenzakd akashinda na akagombea

Hii miaka mitatu aliyokuwa raisi ni haki yake sababu katiba ilisema ivyo ila 2025 anapaswa kupambana ndani ya chama then aende uchaguzi mkuu

Nachokiona ni kama mama anaogopa kupambana ndani ya chama ndo maana anajarb kuondoa wale anaoona ni hatari kwake mapema kitu ambacho sio sahihi

Kwa maana nyepesi mama hataki competition yoyote ile jambo ambalo sio sahihi
 
Kwani nani ndiye mwenyekiti wa chama? Hebu acha mizengwe, twende pamoja na mama yetu

Ccm wakimkata Samia, namshauri ahamie Chadema, wale jamaa huwa hawana mgombea hadi dakika za mwisho mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama alipokea kijiti ch mwendazake baada ya mauti kumkuta
Awamu hii inaisha 2025 maana yake utawala wa awam iliyoisha

Mimi nadhan mama kama anataka kuwa raisi 2025-2030 basi anapaswa mwaka 2025 achukue form ndani ya chama agombee na wengine waruhusiwe kuchukua form wapambane ili akishinda ndo awe mgombea wa chama

Mama nachoona anataka mtelezo(ganda la ndizi) hataki kupitia mchakato halisi wa chama ambao kila aliyekuwa raisi alichukua form na kupambana na wana CCM wenzakd akashinda na akagombea

Hii miaka mitatu aliyokuwa raisi ni haki yake sababu katiba ilisema ivyo ila 2025 anapaswa kupambana ndani ya chama then aende uchaguzi mkuu

Nachokiona ni kama mama anaogopa kupambana ndani ya chama ndo maana anajarb kuondoa wale anaoona ni hatari kwake mapema kitu ambacho sio sahihi

Kwa maana nyepesi mama hataki competition yoyote ile jambo ambalo sio sahihi

Ni muhimu sana akapambanishwa na makada wenzake, kama walivyofanyiwa waliomtangulia. Asitake kuendekeza tabia za kike za kupenda kubebwa bebwa.

See also:
 
"UKIWA MWENYEKITI NA RAIS UNAKUWA NA NGUVU KWELIKWELI" By MSOGA'S VOICE.
Katibu wa chama anateuliwa nani?
Nani huwa anaandaa fomu za wagombea?
2025 hakuna nyau zaidi ya Samia.
Dawa nikutenganisha kofia za Urais na Uenyeviti kwa vyama vyote vya siasa.Heshima yademokrasia nakuonyana itakuwepo.
Pia hata maji kwenye glas yatanyweka.
 
Back
Top Bottom