Wapinzani wa Serikali acheni kumpa kiburi Prof. Assad

shamimuodd

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,192
Reaction score
2,119
Wakuu,

Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.

Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile
 
Swali je anafahamu maana ya hansadi??? au kasikia tu bungeni na wabunge huwa wanaweka kumbukumbu za vikao vao kwenye hansadi akadhani kuwa na yeye mahojiano yake yapo kwenye hansadi???

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima yeye akakomaa.

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli ni muongo kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Kwa hiyo nduguyo ndugai ndo awe na kiburi siyo?
 
Unamhukumu CAG kwa sheria ipi?
 
Yaani profesa mzima hajui maana ya hansard?
Kwenye hayo mahojiano wewe ilikuwepo?
 
Kama hujui ni kuwa hujui tuu. Na unyamaze
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa kiburi wala asingeitikia hata huo wito wa bunge...na kusingekuwa na athari yoyote....akajishusha na akaenda kujibu hoja ziliozulizwa kidhaifu katika bunge dhaifu vile vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Alitishiwa kupelekwa kwa pingu ndiyo maana akaona hana jinsi zaidi ya kwenda kujisalimisha. Kwa ufupi Prof Assad kaharibu sana hasa kwa msomi kama yeye kushindwa kumanage mgogoro mdogo kama huu
 
Hutaki kajinyonge
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile

In God we trust
 
Wanamjaza, halafu hiyo elimu wanayomsifia nayo kashindwa kuitumia kidogo tu
 
umeandika ugoro.
 
Nasikitika sana kwasababu nimesoma huu UZI dhaifu kihoja kiwango hichi....nilichogundua hakuna unachofahamu kuhusu....
-Haujui kuhusu BUNGE kwa maana ya Mamlaka yake na uhusiano wake na CAG kwa mujibu wa Katiba.....

-Haujui lolote kuhusu kazi za CAG na LUGHA ZA KIHASIBU....haujui lolote wewe kuhusu Ripoti hii na Mgogoro wa NDUGAI NA CAG pia Haujui lolote kwanini CAG amesema Bunge ni Dhaifu

-Haujui lolote kuhusu HANSADI YA BUNGE na pia Haujui lolote kwenye maelezo ya CAG mpaka anataka hansadi iwekwe wazi....lakini mimi binafsi najua CAG kwanini anataka Hansadi ya Mahojiano yake na Kamati iwe wazi(anataka access iwepo kati ya wabunge ambalo sio wajumbe wa kamati ile wajue alihojiwa nini na alijibu nini)....ni Elimu kubwa sana ukijua alichojibu.

Mwisho DHAIFU kwenye taaluma yao ya KIHASIBU hakuna ubaya wowote kuliambia Bunge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta kiti ujifunze kwanza haya mambo hayahitaji USHABIKI kwasababu unataka kuona Hoja za CAG ni za wapinzani wa serikali ambao hata ukiambiwa uwataje wapinzani hao utakuwa huwajui
Wakuu,
Ni muhimu kuelewa kuwa Bunge la JMT haliwezi kumuonea mtu yeyote.
Mh. Prof Assad alipoitwa kujieleza kwenye kamati, na baada ya ripoti ya hiyo kamati Bungeni, Prof. Assad anaonekana kuchukua kauli za wapinzani na kuzifanya zake akidhani kuwa eti yupo sahihi. Mfano, Prof Assad alipokuwa anahojiwa juzi alisema;

1.Anaomba hansadi ya bunge iwekwe wazi

Kwanza kabisa CAG ajue bunge halijamuonea, ila ni kiburi chake/dharau na kukosa hekima ndiko kuliko fikisha hapa mambo yote. Bunge lilimuambia amelikosea heshima badala ya kuomba msamaha yaishe yeye kwanini anashikilia msimamo???

Na kwa taarifa, anavyodhani kuwa eti ripoti ya kamati imemuonea akidhani hansadi ndiyo ina ukweli sidhani kama ni kweli kwa sababu ripoti zote za kamati ya maadili ya bunge huwa zinawekwa kwenye website ya Bunge

Repoti za kamati za bunge

Hivyo hata ripoti juu ya mahojiano yake itawekwa wazi, hivyo aache kuleta visingizio vya kusema eti hansadi mara hansadi.

Watanzania wazalendo tuache kupotosha umma, tuweke maslahi ya nchi mbele, hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma kwenye ofisi kubwa kama ya CAG mwenye dharau na kiburi namna ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukileta issue hapa uwe na uhakika na usemalo….VIKAO VYOTE BUNGENI HUWEKWA KWENYE HANSAD ...KAMATI NDOGO NDOGO ZA BUNGE NI BUNGE PIA
PAC nk...pia mahojiano ya kamati hiyo yapo...CAG alikuwa anajibu swali Mwandishi wa TBC nafikiri aliyetaka kujua mahojiano yao na akamwambia aende kuomba HANSAD...NA YAPO
 
Back
Top Bottom