Pole sana CAG wangu Assad, Umepotoshwa ukatupotosha,Ukweli mchungu,Upungufu wa walimu Msingi tu ni 118,397 na sio 58,057

ABC ZA 2020

Senior Member
May 2, 2018
118
250
Mzee wangu wasalaam!

Kwanza hongera kwa kazi nzuri na ya kutukuka tena iliyojaa Uzalendo kwa Taifa lako hili masikini kabisa kusini mwa Jangwa la Sahara, Taifa ambalo uchumi wake unadondoka kama nazi mtini, Huwezi amini toka ile 7.1% uliyoturipotia mwaka jana mpaka 4% mwaka huu,Taifa lililosheheni wezi,walanguzi,wala rushwa,mafisadi najua hili wewe mwenyewe ni shahidi sitaki kusema sana.
Mzee wangu Assad utakubaliana na mimi kuwa katika awamu zote nne zilizotangulia hii ndio awamu iliyovunja rekodi kwa Ufisadi na ula rushwa tangu Uhuru,hili najua wewe pia ni shahidi Wa wewe mwenyewe,Hongera sana kwa kusimama na Mungu wa haki na kweli na Mungu atakuinua juu na utakuwa juu kama Pierre!( cheko kidogo)

Mzee wangu Assad, Nimepitia ripoti yako ukurasa Wa 399 juu ya Upungufu Wa walimu katika shule za Msingi, Ripoti yako inasema upungufu Wa Walimu ni 29% " HII SI KWELI" Umesema mahitaji ya walimu wa shule za msingi nchini ni walimu 199,796 na waliopo kwa mujibu wa ripoti yako ni walimu 141,739 na hivyo Upungufu ni walimu 58,057 tu.

Ukisoma kitabu cha " Hall ya Uchumi Wa Taifa katik Mwaka 2017 " kilichowasilishwa Bungeni Dodoma na Waziri Wa fedha Dk Philip Mpango mwezi Juni,2018 Ukurasa Wa 235 Sura ya 19 ,Idadi ya wanafunzi Wa Msingi (Awali -Darasa la 7) kwa shule za Msingi za serikali utapata jumla yake kuu ni wanafunzi 10,405,432

Unafahamu kuwa kwa Mujibu Wa UNESCO ( United Nations Educational Scientific and Cultural Organization) yaani shirika linalohusika na Elimu Duniani limeweka Uwiano Wa Mwalimu Mmoja kufundisha wanafunzi 40 ( 1:40)
____________________
Recall:
1 Mwalimu = Wanafunzi 40
? =Wanafunzi 10,405,432

Then: 1 × 10,405,432÷40= 260,136
Sasa ukichukua Walimu 260,136 ukatoa walimu 141,739 waliopo Utapata Upungufu ni walimu 118,397 sawa na 46% na wala si walimu 58,057 ambayo ni 29% kama ulivyopotoshwa na wewe kutupotosha japo si kwa makusudi.

SHULE ZA MSINGI PEKE YAKE ZINAUPUNGUFU WA WALIMU 118,397 ( Laki moja kumi na nane elfu mia tatu tisini na saba)

ANGALIZO: Kama kuna walimu wamemaliza vyuo tangu mwaka 2014/15 wako mtaani hawana ajira na shule zinaupungufu mkubwa Wa walimu, Tuambiwe tunakwama wapi kama Taifa??
 
lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,055
2,000
Usijali mwalimu ktk hizo nafasi 58000 nawewe utapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ABC ZA 2020

Senior Member
May 2, 2018
118
250
OTE="Zamaulid, post: 31062755, member: 16111"]
Nadhani UNESCO wana ratio yao kama nchi pia tuna ratio yetu,sina uhakika kama hizo ratio zinafanana....hebu check sera ya elimu ya 1995

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Ratio ni moja kama nilivyochambua, Na hii ni kwa shule za Msingi tu
 
Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,481
2,000
Utapimwa mkojo
Mzee wangu wasalaam!

Kwanza hongera kwa kazi nzuri na ya kutukuka tena iliyojaa Uzalendo kwa Taifa lako hili masikini kabisa kusini mwa Jangwa la Sahara, Taifa ambalo uchumi wake unadondoka kama nazi mtini, Huwezi amini toka ile 7.1% uliyoturipotia mwaka jana mpaka 4% mwaka huu,Taifa lililosheheni wezi,walanguzi,wala rushwa,mafisadi najua hili wewe mwenyewe ni shahidi sitaki kusema sana.
Mzee wangu Assad utakubaliana na mimi kuwa katika awamu zote nne zilizotangulia hii ndio awamu iliyovunja rekodi kwa Ufisadi na ula rushwa tangu Uhuru,hili najua wewe pia ni shahidi Wa wewe mwenyewe,Hongera sana kwa kusimama na Mungu wa haki na kweli na Mungu atakuinua juu na utakuwa juu kama Pierre!( cheko kidogo)

Mzee wangu Assad, Nimepitia ripoti yako ukurasa Wa 399 juu ya Upungufu Wa walimu katika shule za Msingi, Ripoti yako inasema upungufu Wa Walimu ni 29% " HII SI KWELI" Umesema mahitaji ya walimu wa shule za msingi nchini ni walimu 199,796 na waliopo kwa mujibu wa ripoti yako ni walimu 141,739 na hivyo Upungufu ni walimu 58,057 tu.

Ukisoma kitabu cha " Hall ya Uchumi Wa Taifa katik Mwaka 2017 " kilichowasilishwa Bungeni Dodoma na Waziri Wa fedha Dk Philip Mpango mwezi Juni,2018 Ukurasa Wa 235 Sura ya 19 ,Idadi ya wanafunzi Wa Msingi (Awali -Darasa la 7) kwa shule za Msingi za serikali utapata jumla yake kuu ni wanafunzi 10,405,432

Unafahamu kuwa kwa Mujibu Wa UNESCO ( United Nations Educational Scientific and Cultural Organization) yaani shirika linalohusika na Elimu Duniani limeweka Uwiano Wa Mwalimu Mmoja kufundisha wanafunzi 40 ( 1:40)
____________________
Recall:
1 Mwalimu = Wanafunzi 40
? =Wanafunzi 10,405,432

Then: 1 × 10,405,432÷40= 260,136
Sasa ukichukua Walimu 260,136 ukatoa walimu 141,739 waliopo Utapata Upungufu ni walimu 118,397 sawa na 46% na wala si walimu 58,057 ambayo ni 29% kama ulivyopotoshwa na wewe kutupotosha japo si kwa makusudi.

SHULE ZA MSINGI PEKE YAKE ZINAUPUNGUFU WA WALIMU 118,397 ( Laki moja kumi na nane elfu mia tatu tisini na saba)

ANGALIZO: Kama kuna walimu wamemaliza vyuo tangu mwaka 2014/15 wako mtaani hawana ajira na shule zinaupungufu mkubwa Wa walimu, Tuambiwe tunakwama wapi kama Taifa??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,661
2,000
Kuna wabovu wengi sana walikimbilia ualimu baada ya kujua ajira ipo huko lakini hawana sifa za ualimu.
kwa hyo wee na ubovu wako uliamua ukimbilie Lumumba?.....Wafuas wa CCM wengi ni wajinga (TWAWEZA, 2017) Alaf hawa ndio wanaoinfluence sera za elimu nchini!!
 
darisoo

Senior Member
Mar 21, 2019
137
250
Mzee wangu wasalaam!

Kwanza hongera kwa kazi nzuri na ya kutukuka tena iliyojaa Uzalendo kwa Taifa lako hili masikini kabisa kusini mwa Jangwa la Sahara, Taifa ambalo uchumi wake unadondoka kama nazi mtini, Huwezi amini toka ile 7.1% uliyoturipotia mwaka jana mpaka 4% mwaka huu,Taifa lililosheheni wezi,walanguzi,wala rushwa,mafisadi najua hili wewe mwenyewe ni shahidi sitaki kusema sana.
Mzee wangu Assad utakubaliana na mimi kuwa katika awamu zote nne zilizotangulia hii ndio awamu iliyovunja rekodi kwa Ufisadi na ula rushwa tangu Uhuru,hili najua wewe pia ni shahidi Wa wewe mwenyewe,Hongera sana kwa kusimama na Mungu wa haki na kweli na Mungu atakuinua juu na utakuwa juu kama Pierre!( cheko kidogo)

Mzee wangu Assad, Nimepitia ripoti yako ukurasa Wa 399 juu ya Upungufu Wa walimu katika shule za Msingi, Ripoti yako inasema upungufu Wa Walimu ni 29% " HII SI KWELI" Umesema mahitaji ya walimu wa shule za msingi nchini ni walimu 199,796 na waliopo kwa mujibu wa ripoti yako ni walimu 141,739 na hivyo Upungufu ni walimu 58,057 tu.

Ukisoma kitabu cha " Hall ya Uchumi Wa Taifa katik Mwaka 2017 " kilichowasilishwa Bungeni Dodoma na Waziri Wa fedha Dk Philip Mpango mwezi Juni,2018 Ukurasa Wa 235 Sura ya 19 ,Idadi ya wanafunzi Wa Msingi (Awali -Darasa la 7) kwa shule za Msingi za serikali utapata jumla yake kuu ni wanafunzi 10,405,432

Unafahamu kuwa kwa Mujibu Wa UNESCO ( United Nations Educational Scientific and Cultural Organization) yaani shirika linalohusika na Elimu Duniani limeweka Uwiano Wa Mwalimu Mmoja kufundisha wanafunzi 40 ( 1:40)
____________________
Recall:
1 Mwalimu = Wanafunzi 40
? =Wanafunzi 10,405,432

Then: 1 × 10,405,432÷40= 260,136
Sasa ukichukua Walimu 260,136 ukatoa walimu 141,739 waliopo Utapata Upungufu ni walimu 118,397 sawa na 46% na wala si walimu 58,057 ambayo ni 29% kama ulivyopotoshwa na wewe kutupotosha japo si kwa makusudi.

SHULE ZA MSINGI PEKE YAKE ZINAUPUNGUFU WA WALIMU 118,397 ( Laki moja kumi na nane elfu mia tatu tisini na saba)

ANGALIZO: Kama kuna walimu wamemaliza vyuo tangu mwaka 2014/15 wako mtaani hawana ajira na shule zinaupungufu mkubwa Wa walimu, Tuambiwe tunakwama wapi kama Taifa??
nyinyi kijani hamuaminiki tena ,mmetudanganya sana,CAG NDIO MKWELI
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom