Hakuna mwenye CCM

Hakuna mwenye CCM

Eric Cartman

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
11,960
Reaction score
11,221
Vijana CCM kama chama cha siasa kina katiba na itikadi zake.

Ili uwe mwanachama inabidi uelewe CCM inasimamia nini (miaka hiyo sio sasa).

Kwa sasa hakuna mbadala wa CCM kisera, lakini bado ndio nambari one.

Maana yake nini? Hakuna mwanachama mwenye hati maliki. Wote wamejiunga tu kwa kufuata katiba na kanuni.

CCM kama chama kinataratibu zake za kuendeleza wanachama na baadhi yao kupewa nafasi serikalini.

Sasa kwa sababu ulipewa nafasi na CCM aina maana una hati miliki na CCM kwa taratibu ulizozikuta wakati unatoka kijijini kwenu.

Vijana ni muda wa kuichukua CCM kutoka kwa wahuni. Vita ni maendeleo sio kutetea ufisadi.
 
Hao wwhuni wenyewe miongoni mwao ni vijana, na wanajinasibu "CCM yao" kwasababu ndio huwa wanawaibia kura mkizidiwa kwenye uchaguzi mkuu, simply wao ndio huwapa ushindi muendelee kujiita chama tawala.
 
Ni majigambo tu ya akina Nape, January,Bulembo.
Wangejifunza kwa watoto wa Nyerere.
 
Unasema hivyo kama nani ?
Vijana CCM kama chama cha siasa kina katiba na itikadi zake.

Ili uwe mwanachama inabidi uelewe CCM inasimamia nini (miaka hiyo sio sasa).

Kwa sasa hakuna mbadala wa CCM kisera, lakini bado ndio nambari one.

Maana yake nini? Hakuna mwanachama mwenye hati maliki. Wote wamejiunga tu kwa kufuata katiba na kanuni.

CCM kama chama kinataratibu zake za kuendeleza wanachama na baadhi yao kupewa nafasi serikalini.

Sasa kwa sababu ulipewa nafasi na CCM aina maana una hati miliki na CCM kwa taratibu ulizozikuta wakati unatoka kijijini kwenu.

Vijana ni muda wa kuichukua CCM kutoka kwa wahuni. Vita ni maendeleo sio kutetea ufisadi.
 
Hao wwhuni wenyewe miongoni mwao ni vijana, na wanajinasibu "CCM yao" kwasababu ndio huwa wanawaibia kura mkizidiwa kwenye uchaguzi mkuu, simply wao ndio huwapa ushindi muendelee kujiita chama tawala.
Wote hao wanaojitapa ni wapuuzi tu.

Wenye nguvu na hiko chama wanava jezi tu kwenye uchaguzi; tatizo lao hawana kura kwenye dira ya chama. But trust me you don’t want to mess with those ppl.

Issue ni hawa watu wanaodhani pekee ndio walienda jando.

CCM ni chama kikubwa kinachopenda haki na kushinda chaguzi zake kihalali.

Ila humo ndani kuna watu wanajiona wao CCM zaidi kushinda wengine in other words wahuni.
 
The picture is bigger than, that.

Hao wanaojigamba ndio shida.

CCM ni ya kila mtu, pamoja na wewe: usitishike na majivuno ya watu.
 
Vijana CCM kama chama cha siasa kina katiba na itikadi zake.

Ili uwe mwanachama inabidi uelewe CCM inasimamia nini (miaka hiyo sio sasa).

Kwa sasa hakuna mbadala wa CCM kisera, lakini bado ndio nambari one.

Maana yake nini? Hakuna mwanachama mwenye hati maliki. Wote wamejiunga tu kwa kufuata katiba na kanuni.

CCM kama chama kinataratibu zake za kuendeleza wanachama na baadhi yao kupewa nafasi serikalini.

Sasa kwa sababu ulipewa nafasi na CCM aina maana una hati miliki na CCM kwa taratibu ulizozikuta wakati unatoka kijijini kwenu.

Vijana ni muda wa kuichukua CCM kutoka kwa wahuni. Vita ni maendeleo sio kutetea ufisadi.
Kufuata Katiba na kanuni zipi hizi za rushwa na kuiba uchaguzi pamoja na kuabudu watawala?
 
Vijana CCM kama chama cha siasa kina katiba na itikadi zake.

Ili uwe mwanachama inabidi uelewe CCM inasimamia nini (miaka hiyo sio sasa).

Kwa sasa hakuna mbadala wa CCM kisera, lakini bado ndio nambari one.

Maana yake nini? Hakuna mwanachama mwenye hati maliki. Wote wamejiunga tu kwa kufuata katiba na kanuni.

CCM kama chama kinataratibu zake za kuendeleza wanachama na baadhi yao kupewa nafasi serikalini.

Sasa kwa sababu ulipewa nafasi na CCM aina maana una hati miliki na CCM kwa taratibu ulizozikuta wakati unatoka kijijini kwenu.

Vijana ni muda wa kuichukua CCM kutoka kwa wahuni. Vita ni maendeleo sio kutetea ufisadi.

Hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa, lakini kuna ilivyo. Hapo ndio utajua hujui.
 
Wote hao wanaojitapa ni wapuuzi tu.

Wenye nguvu na hiko chama wanava jezi tu kwenye uchaguzi; tatizo lao hawana kura kwenye dira ya chama. But trust me you don’t want to mess with those ppl.

Issue ni hawa watu wanaodhani pekee ndio walienda jando.

CCM ni chama kikubwa kinachopenda haki na kushinda chaguzi zake kihalali.

Ila humo ndani kuna watu wanajiona wao CCM zaidi kushinda wengine in other words wahuni.
Hivi Bora kuwa muhuni au kiroboto?
 
Mkuu HV n lzm uwe mwanachama wa ccm ndio upate cheo serikalini ....
 
Back
Top Bottom