Nimewahi ambiwa kwamba Z'bara wanapenda sana kuwa waarabu na wanafanyiwa sherehe za kuwa waarabu. Binadamu wa kiwango hicho kwa hiari yake, lazima ana tatizo la msingi kijamii. Upende usipende...
Wanabodi "The Lucifer effect "ni dhana inyoelezea jinsi watu wema kabisa na wanyenyekevu, washika dini na viongozi wanapogeuka na kuwa na matendo ya kishetani.
Utafiti umefanywa kwa muda mrefu...
Nimeangalia sana na kufuatilia wapinzani wengi wa mama toka alipoapishwa kuwa Rais.
Watu wengi wanaompinga ni wale bado wenye mawazo ya mfumo dume, tatizo linaloletwa na imani na tamaduni zetu ya...
Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko.
Nilichogundua kwenye ile hotuba ni kwamba Ndugai alikuwa amejiandaa kwamba liwalo na liwe.
Alikuwa ameamua kutoa yake ya moyoni...
Kwenye nchi yoyote duniani, inayoweza kusema inaendesha utawala bora, ni lazima iruhusu mfumo wa mihimili 3 mikuu ya nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama kujiendesha katika kutoingiliana...
Muheshimiwa SSH na raisi wangu najua upo kwenye majukumu mazito ya kujenga taifa.
Hata hivyo kutokana na watendaji toka taasisi za Elimu ya juu kutanguliza nadharia kwenye utendaji mfano maandiko...
Kama taifa yaweza kuwa tuko katika hali mbaya zaidi kufuatia kuachia ngazi kwa spika Ndugai.
Ni wazi kuwa Ndugai yamemkuta.
Ndugai kapigwa na kitu kizito utosini!
Hakuna asiyejua Ndugai alikuwa...
Mama Samia amejengwa na utamaduni wa wazanzibari wa "muhali". Huku bara hakuna kitu kama hicho.
Jitu likikuamulia kila uchwao linaongeza mbinu za kukuangamiza. Kingine ni kwamba mijitu ya huku...
Naibu Spika wa JMT, Tulia Ackson amempiga Spika wa Bunge Job ndugai kijembe cha kibonzo kupitia mitandao yake ya kijamii. Ndugai ambaye kwa awamu ya tano alikuwa akiongoza kampeni ya kwenda kukopa...
Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025...
Kuwepo kwa vyama imara vya upinzani nchini na wabunge wengi wa upinzani bungeni ndiko kunakowaunganisha wanachama na wabunge wa CCM na kujiona ni kitu kimoja dhidi ya vyama na wabunge wa upinzani...
Mpk sasa za chinichini Ndugai hajiuzuru kwa sababu ya backup kubwa aliyonayo ya Team Magu wakiongozwa na Kassim Majaliwa
Za ndani kabisa zinasema wamemwambia agome kujiuzuru ili wanaopeleka...
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa...
Tangu mama kuingia madarakani kwa bahati mbaya ya kufa kiongozi mpendwa Tanzania magufuli amekuwa hana political base kwa hivyo amejibainisha kama mtetezi wa kupata madaraka wanawake.
Tunaweza...
Ninaamin na wengi wanaelewa kwa katiba hii ya 1977,tuna mhimili mmoja tu hapa Tanzania,hii mingine ya mhimili wa mahakama na mhimili wa Bunge ni formalities tu,ipo lakini haifanyi kazi...
Ni maneno ya Bibi mmoja kwenye daladala~ alikuwa muuza mboga kwasasa ameacha. Wakati baba yupo inamaana mama alikuwa anaishi kwa kuigiza au mama alikuwa anaskilizia. Baba mama anageuka, amini siku...
Huo ni "UONGO" wa wazi...
Jenerali Ulimwengu ameshanunuliwa na Mafisadi ili wapate sababu za kuuza umeme wa IPTL na Symbion huku wakihujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!! Sote tunafahamu jinsi...
Kwanza nimpe pole Speaker mstaafu kwa yaliyompata. Na hili liwe funzo kwetu kuwa unapokuwa na madaraka usiumize upande mmoja huwezi kujua kesho itakuwaje. Kuna observation nimeipata kutokana na...