CCM walia kufanyiana majungu, fitna na roho mbaya!

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,925
95,202
Mh Lema pale bungeni alisema kuwa wabunge wa ccm wanawabagua wabunge wa upinzani kwakuwa wapo wachache bungeni.

Akawaonya kuwa wakisha wamaliza wapinzani watageukiana wao kwa wao na ndiyo itakuwa mwisho wa ccm yenyewe.

Tazameni na msikilize huyu mwana ccm akikili hali hiyo ndani ya chama chao ccm.
 
View attachment 2070156
Wameshakua Wahubiri
 
Ajenda ya Mbowe imekwisha mnacheza midundo ya green buffalo!
Mbowe ajenda yake inajulikana haina shida ya kuumiza akili kwa issue kama hiyo.

Mbowe mtamwachilia bila masharti yoyote yale bila hivyo hiyo mikopo mnayo ililia na kutaka kutoana macho hamtaipata kamwe.

Sisi tunaupiga mkubwa sana
 
Mh Lema pale bungeni alisema kuwa wabunge wa ccm wanawabagua wabunge wa upinzani kwakuwa wapo wachache bungeni.

Akawaonya kuwa wakisha wamaliza wapinzani watageukiana wao kwa wao na ndiyo itakuwa mwisho wa ccm yenyewe.

Tazameni na msikilize huyu mwana ccm akikili hali hiyo ndani ya chama chao ccm.
View attachment 2070156
Halafu mbona mnakuwa waongo. Huu sio utabili bali ni onyo dhidi ya ubaguzi ambao alitoaga nyerere zamani wakati anaonya kuhusu dhambi ya ubaguzi.
Hawa kina lema wanacustomize tuu kupata political mileage.
 
Back
Top Bottom