Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,558
- 217,846
Sisi yetu machoDuu!! Huyu nabii ndiye aliyemuonya Meko akashupaza shingo consequences zake hazikuwa nzuri sana!
Aendelee na kiburi chakeDuh huyu huwa kama 'anaoteshwa' hivi, Spika usidharau hata kidogo
Kwa 2021 Mungu hacheleweshiIshuke adhabu chaap kwa haraka
Kila nafsi itaonja mauti. Kama si leo, ni kesho! Hivyo kila mmoja ajiandae kusimama mbele ya Mungu mwenye haki leo, lakini pia afanye kazi zake kana kwamba anayo miaka 100 mbele!Duu!! Huyu nabii ndiye aliyemuonya Meko akashupaza shingo consequences zake hazikuwa nzuri sana!
Anachofanya Spika Ndugai ni KIBRI CHA UZIMA na JEURI YA PESA.Duh huyu huwa kama 'anaoteshwa' hivi, Spika usidharau hata kidogo
Kwan yye LEMA NDIO NANI MUNGU AU MAAANA KAMA ANAMKUMBUSHA DHAMBI WAKT YYE KIPIMO CHA DHAMBI ZAKE HAZIJUI
Huyu mjinga tu ,kama wajinga wengine.
Ujinga mtupu kila binadamu atakufaKwa 2021 Mungu hacheleweshi
Hahahaaaaaaaa,MunguMANENO HUUMBA!! MUACHE HUYU MGOGO AFANYE DHARAU HALAFU SIKU MOJA ANASIKIA PAAAAAAAAA.....P IMETOKA!!!!