Mchungaji Msigwa: Mtu pekee anayefaa kuwa Spika wa bunge la JMT kwa sasa ni mzee Andrew Chenge!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,808
141,710
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mchungaji Peter Msigwa amesema mtu pekee anayestahili kuwa Spika wa bunge la JMT kwa sasa ni mh Andrew Chenge.

Mchungaji Msigwa ni jirani wa mh William Lukuvi pale Iringa ambaye anatajwa pia kumrithi Ndugai.

Msigwa ametoa ushauri huu kwa CCM kupitia ukurasa wake wa twitter.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Na mimi nasema mtu pekee anaeweza kuwa spika wa bunge ni dada Fatma Karume,
ili kulijenga na kulitaarisha taifa kuelekea dunia mpya,anahitajika mtu anaeweza kusimamia usawa na haki ipasavyo.
  • ni mwana sheria mahiri
  • ni mtenda haki na msimamizi wa haki mzuri
-Hana mapenzi na vyama vyovyote
-Ana uwezo wa kusema na kusimamia ukweli
-ana vision ya kujenga mifumo imara ya utawala wa haki na wa kisheria
  • si kibaraka wa mtu yeyote na si rahisi kumfanya awe kibaraka
  • ana sifa nyingi nyeginezo
Ingawa katika siasa zetu nivigumu kwa vile hayumo kwenye vyama lakini katiba inaruhusu.
#FATMA KARUME AS A MADAM SPEAKER
 
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mchungaji Peter Msigwa amesema mtu pekee anayestahili kuwa Spika wa bunge la JMT kwa sasa ni mh Andrew Chenge.

Mchungaji Msigwa ni jirani wa mh William Lukuvi pale Iringa ambaye anatajwa pia kumrithi Ndugai.

Msigwa ametoa ushauri huu kwa CCM kupitia ukurasa wake wa twitter.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Ndiyo kazi ya chadema kutetea mafisadi
 
IMG_20220108_213239.jpg
 
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mchungaji Peter Msigwa amesema mtu pekee anayestahili kuwa Spika wa bunge la JMT kwa sasa ni mh Andrew Chenge.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Naunga mkono hoja
P
 
Naunga mkono hoja
P
Utabaki hivyohivyo kuunga mkono hata uunge traco mamlaka za uteuzi hazikuoni ngooooo
 
Naunga mkono hoja
P
Mtu akimfahamu Chenge anakuwa na muono tofauti kabisa na yanayosemwa juu yake, ukisoma magazeti na kusikiliza vijiwe utamuona Chenge mtu mbaya sana. Ukweli ni kwamba Chenge ni mtu rahimu na mahiri sana. Nafasi hiyo anaweza kuitendea haki hadi umma ukashangaa.
 
Watu wanataka kichwa cha Havard kiachwe kinachuma Pamba huko Usukumani

Sio haki ni kuidhulumu Mama Tanzania
Mtu akimfahamu Chenge anakuwa na muono tofauti kabisa na yanayosemwa juu yake, ukisoma magazeti na kusikiliza vijiwe utamuona Chenge mtu mbaya sana. Ukweli ni kwamba Chenge ni mtu rahimu na mahiri sana. Nafasi hiyo anaweza kuitendea haki hadi umma ukashangaa.
 
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mchungaji Peter Msigwa amesema mtu pekee anayestahili kuwa Spika wa bunge la JMT kwa sasa ni mh Andrew Chenge.

Mchungaji Msigwa ni jirani wa mh William Lukuvi pale Iringa ambaye anatajwa pia kumrithi Ndugai.

Msigwa ametoa ushauri huu kwa CCM kupitia ukurasa wake wa twitter.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Huyu mzee kila kashfa ya upigaji yuko sijui rada escrow richmomd dowansi agreko yaani alutakiwa lupango mda huu
 
Back
Top Bottom