Uwaziri wa Afya wa Dkt. Kigwangala umeyeyukia wapi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,230
Siku chache zilizopita wanachama wawili wa JF johnthebaptist na Ngongo walijiapiza kwamba ni lazima Hamisi Kigwangwala aapishwe kuwa Waziri wa Afya , hawakuishia hapo bali wakaendelea kutuaminisha kwamba habari yao hiyo ilitokana na vyanzo vya uhakika, nyuzi zikafunguliwa na wachangiaji wakachangia

Sasa leo yakaribia wiki tangu uteuzi huo ufanyike hapa JF, swali langu ni dogo tu, huyu mteule wao ataapishwa lini kuchukua mikoba ya Wizara ya Afya?
 
Issue ya Mbowe imetuchanganya kidogo,tulimtumia Zitto kufanikisha jambo letu limebuma.

Uteuzi wa Dr Kigwangallah upo pale pale documents zake zipo mezani hakuna wa kulipinga tumeamua kuwapatia uteuzi wale wote waliokataliwa Mwendazake.

Ni hayo tu kwasasa

Ngongo kwasasa Chake chake Pemba
 
Tunakushukuru sana mkuu kwa kujitokeza kutoa ufafanuzi , naamini mteule huyu ataapishwa baada ya sikukuu
 
Siku chache zilizopita wanachama wawili wa JF johnthebaptist na Ngongo walijiapiza kwamba ni lazima Hamisi Kigwangwala aapishwe kuwa Waziri wa Afya , hawakuishia hapo bali wakaendelea kutuaminisha kwamba habari yao hiyo ilitokana na vyanzo vya uhakika, nyuzi zikafunguliwa na wachangiaji wakachangia

Sasa leo yakaribia wiki tangu uteuzi huo ufanyike hapa JF, swali langu ni dogo tu, huyu mteule wao ataapishwa lini kuchukua mikoba ya Wizara ya Afya?
Hafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Hata ajisogeze vipi atulie tu
 
kwa taarifa za udukuzi ,alitakiwa aapishwe tar 21/12/2021,lakini Kuna mtu alipeleka ka hoja ka ushauri(kapingamiz ) ,uzuri barua ilikuwa imeandaliwa isainiwe na irushwe kwa msemaji wa ikulu,ikazuiwa Sasa ,Bibi ikabd aachane na huo uteuzi ,akidai ngoja achambue ,akiona vp anaweza kurudi kwa maoni yake,au laa Kuna mwanamke anapewa turufu kupewa wizara(mpiga pande ni ma strip,kwa mgongo wa mzee wa msoga)
 
Issue ya Mbowe imetuchanganya kidogo,tulimtumia Zitto kufanikisha jambo letu limebuma.

Uteuzi wa Dr Kigwangallah upo pale pale documents zake zipo mezani hakuna wa kulipinga tumeamua kuwapatia uteuzi wale wote waliokataliwa Mwendazake.

Ni hayo tu kwasasa

Ngongo kwasasa Chake chake Pemba
Na Dorothy mmemutuma kuchakachua data za wanaokufa siyo?
 
Siku chache zilizopita wanachama wawili wa JF johnthebaptist na Ngongo walijiapiza kwamba ni lazima Hamisi Kigwangwala aapishwe kuwa Waziri wa Afya , hawakuishia hapo bali wakaendelea kutuaminisha kwamba habari yao hiyo ilitokana na vyanzo vya uhakika, nyuzi zikafunguliwa na wachangiaji wakachangia

Sasa leo yakaribia wiki tangu uteuzi huo ufanyike hapa JF, swali langu ni dogo tu, huyu mteule wao ataapishwa lini kuchukua mikoba ya Wizara ya Afya?
Bwashee vuta subira Kigwangalla anarejea barazani!
 
Kwani ameshajibu hoja za CAG kule maliasili na utalii au ataenda kuzijibu mbere kwa mbere akiwa wizara ya afya........halafu huyu si ndo aliwakosoa madaktari bingwa na watafiti wa wizara kwenye utafiti wao kuhusu nyungu, akijiona much know.......
 
Siku chache zilizopita wanachama wawili wa JF johnthebaptist na Ngongo walijiapiza kwamba ni lazima Hamisi Kigwangwala aapishwe kuwa Waziri wa Afya , hawakuishia hapo bali wakaendelea kutuaminisha kwamba habari yao hiyo ilitokana na vyanzo vya uhakika, nyuzi zikafunguliwa na wachangiaji wakachangia

Sasa leo yakaribia wiki tangu uteuzi huo ufanyike hapa JF, swali langu ni dogo tu, huyu mteule wao ataapishwa lini kuchukua mikoba ya Wizara ya Afya?
Walishakunywa mbege wanapayuka tu
 
Ngoja tuongeze kasi kwenye vibuyu...

baada ya sherehe za mwaka mpya tunapindua meza..
 
Siku chache zilizopita wanachama wawili wa JF johnthebaptist na Ngongo walijiapiza kwamba ni lazima Hamisi Kigwangwala aapishwe kuwa Waziri wa Afya , hawakuishia hapo bali wakaendelea kutuaminisha kwamba habari yao hiyo ilitokana na vyanzo vya uhakika, nyuzi zikafunguliwa na wachangiaji wakachangia

Sasa leo yakaribia wiki tangu uteuzi huo ufanyike hapa JF, swali langu ni dogo tu, huyu mteule wao ataapishwa lini kuchukua mikoba ya Wizara ya Afya?
KWANI ALIKWISHATEULIWA au Chawa walikuwa KAZINI?
 
Siku chache zilizopita wanachama wawili wa JF johnthebaptist na Ngongo walijiapiza kwamba ni lazima Hamisi Kigwangwala aapishwe kuwa Waziri wa Afya , hawakuishia hapo bali wakaendelea kutuaminisha kwamba habari yao hiyo ilitokana na vyanzo vya uhakika, nyuzi zikafunguliwa na wachangiaji wakachangia

Sasa leo yakaribia wiki tangu uteuzi huo ufanyike hapa JF, swali langu ni dogo tu, huyu mteule wao ataapishwa lini kuchukua mikoba ya Wizara ya Afya?
Kafara za Rioho za Watu zimeshagoma!!
 
kwa taarifa za udukuzi ,alitakiwa aapishwe tar 21/12/2021,lakini Kuna mtu alipeleka ka hoja ka ushauri(kapingamiz ) ,uzuri barua ilikuwa imeandaliwa isainiwe na irushwe kwa msemaji wa ikulu,ikazuiwa Sasa ,Bibi ikabd aachane na huo uteuzi ,akidai ngoja achambue ,akiona vp anaweza kurudi kwa maoni yake,au laa Kuna mwanamke anapewa turufu kupewa wizara(mpiga pande ni ma strip,kwa mgongo wa mzee wa msoga)
Noma kweli !
 
Ngongo

Watu%20wameanza%20kufukua%20makaburi%20_joy__joy__joy_%20kosa%20la%20%20%40hamisi_kigwangalla%...jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom