Udhaifu mkubwa wa upinzani nchini ndiyo kicheko kwa CCM

Prof Koboko

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
350
2,549
Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au Willing ya watawala. Hivi mkitoka watu million 6 barabarani ambao ni wanachama wa chama kimoja nchini, nani atawakamata wote na awaweke mahabusu zipi?

Ikumbukwe kua kwenye tukio kama hili hata askari wakiua raia hata mmoja watakuwa katika wakati mgumu.

Upinzani umekwama kwenye plans na techniques,wamekwama kwenye organisation, wamekwama kwenye coordination. Mnashindwa kutawanya viongozi wenu kuanzia ngazi za matawi,msingi,kata hadi kanda na taifa mkafikisha ujumbe wa katiba mpya kwenye mamlaka za nchi na kimataifa?

Eti mnaogopa chama kufutiwa usajili, uoga wa kipumbavu kabisa huu. Kwani mkifutiwa chama si mnajiunga na kiingine au mnaibua kipya? Kufuta chama ni kufuta harakati moyoni? Kufuta chama ni kufuta mageuzi moyoni?

Ninashangaa sana Chama kimoja kikubwa cha upinzani mwenyekiti wa yupo gerezani kwa kesi za kuchonga wapo tu wanaendelea kusugua miguu mahakamani kila siku. Hivi alivyoguswa Zuma wa SA mliona lakini? Alivyoguswa Raila Odinga wa jamuhuri ya Kenya mliona lakini? Nenda kamguse Malema wa SA hivi sasa uone.

Watu million 6, tofauti ya wanachama ni milion 2 na CCM Chama tawala mnalialia kweli?

Udhaifu wenu ni mkubwa sanwa wabishi na hamshauriki. Labda vyama hivi vife vyote tuanze na moja huenda tutapata vyama vyenye dhamira ya kweli na taifa hili.
 
Wewe ndie uliyepewa jukumu la kuhakikisha chadema inafutwa au ni ndoto zako tu, je ulihusika na ule ubambikaji kesi ya ugaidi au ni katika kubadilishana mawazo tu?.
 
Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au Willing ya watawala. Hivi mkitoka watu million 6 barabarani ambao ni wanachama wa chama kimoja nchini, nani atawakamata wote na awaweke mahabusu zipi?

Ikumbukwe kua kwenye tukio kama hili hata askari wakiua raia hata mmoja watakuwa katika wakati mgumu.

Upinzani umekwama kwenye plans na techniques,wamekwama kwenye organisation, wamekwama kwenye coordination. Mnashindwa kutawanya viongozi wenu kuanzia ngazi za matawi,msingi,kata hadi kanda na taifa mkafikisha ujumbe wa katiba mpya kwenye mamlaka za nchi na kimataifa?

Eti mnaogopa chama kufutiwa usajili, uoga wa kipumbavu kabisa huu. Kwani mkifutiwa chama si mnajiunga na kiingine au mnaibua kipya? Kufuta chama ni kufuta harakati moyoni? Kufuta chama ni kufuta mageuzi moyoni?

Ninashangaa sana Chama kimoja kikubwa cha upinzani mwenyekiti wa yupo gerezani kwa kesi za kuchonga wapo tu wanaendelea kusugua miguu mahakamani kila siku. Hivi alivyoguswa Zuma wa SA mliona lakini? Alivyoguswa Raila Odinga wa jamuhuri ya Kenya mliona lakini? Nenda kamguse Malema wa SA hivi sasa uone.

Watu million 6, tofauti ya wanachama ni milion 2 na CCM Chama tawala mnalialia kweli?

Udhaifu wenu ni mkubwa sanwa wabishi na hamshauriki. Labda vyama hivi vife vyote tuanze na moja huenda tutapata vyama vyenye dhamira ya kweli na taifa hili.
Wewe hujui Siasa
Unaulaumuje upinzani wakati Miaka ya Nyuma Upinzania ulikaribia kuchukua Nusuya viti Bungeni?
Hujui kichotokea kwa NCCR mageuzi, kati ya 1995-2000
Hujui Kilitokea Ninikwa CUF hadi Sefu na Lipumba Kuzozan nz hatimae Seif kuhama chama na kuhamia ACT
Hujui Kilichoikumba Upinzania Tanzanaia Nzima Mwaka jana wakati wa uchaguzi enzi za Uhai wa JIWE ?
Sasa Chadema Kule Bungeni wana Mbunge mmoja na Covid 20
Vyama vilivyobaki havizidi wabunge 10.
CCM ina wabunge 350 na Upinzania 30 unatarajia nini,?
Ukifanya mkutano hata wa ndani unaambiwa Gaidi, na unavamiwa na kufunguliwa mashtaka,?
Utaanzia wapi kuandaa Mandamano usawa huu ?
Raia gani huyo atakayetoka kuja kuhatarisha maisha yake?

Nenda kwanza kajifunze siasa,
CCM si kama unavyoifahamu wewe na kuisikiliza kwenye TV na redio., ni zaidi ya Hitla ,wana mbunu za kuangamiza upinzania usiwepo kabisa., kwa gharama yoyote ile.
 
Upinzani umekwama kwenye plans na techniques,wamekwama kwenye organisation, wamekwama kwenye coordination. Mnashindwa kutawanya viongozi wenu kuanzia ngazi za matawi,msingi,kata hadi kanda na taifa mkafikisha ujumbe wa katiba mpya kwenye mamlaka za nchi na kimataifa?
Kwa maneno yako haya ,nakualika njoo pale Mt wa Ufipa ,ili tupange mikakati pamija na wewe ili siku tukiamua kuandamana na wewe uwepo mbele kabisa.
 
Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au Willing ya watawala. Hivi mkitoka watu million 6 barabarani ambao ni wanachama wa chama kimoja nchini, nani atawakamata wote na awaweke mahabusu zipi?

Watu million 6, tofauti ya wanachama ni milion 2 na CCM Chama tawala mnalialia kweli?

Udhaifu wenu ni mkubwa sanwa wabishi na hamshauriki. Labda vyama hivi vife vyote tuanze na moja huenda tutapata vyama vyenye dhamira ya kweli na taifa hili.
Huu ni ukweli mchungu, wapinzani wa Tanzania, hawapendi kabisa kuusikia ila kwanza weka facts right
  1. Tanzania hakuna chama chochote chenye wanachama milioni 6!. Chama kinachoongoza kwa wanachama ni chama dume, CCM chenye wanachama milioni 3!.
  2. Mgombea wa Chadema uchaguzi wa 2015, EL, ndie alipata kura milioni 6!, hizo sio kura za wanachama wa chama chochote cha siasa, ni kura za Watanzania waliomkubali EL.
  3. Upinzani Tanzani una matatizo sana kudhani CCM ndio tatizo
  4. Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
  5. Upinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwala?. Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au..?
  6. Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
  7. Japo Kazi ya Upinzani ni Kupinga, Lakini Sio Kupinga Kila Kitu, Kwenye Maslahi Ya Taifa, Tutangulize Utaifa, Tuwe Wamoja, Wakweli na Tusipotoshe.
  8. Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
  9. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
  10. Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Hivyo kwa kifupi Tanzania, hatuna kabisa a capable and credible opposition ya kuiondoa CCM madarakani!. Hivyo CCM itaendelea kutawala Tanzania milele!. Huu ni ukweli mwingine mchungu, wasiopenda ukweli, hawataki kuusikia ila ndio ukweli wenyewe!.
 
Kama upinzani ni dhaifu na wewe una nguvu, umeitumiaje nguvu yako? CCM wameitumia nguvu yao kuchapisha makaratasi ya ziada ya kura kwenye uchaguzi wa Oktoba 2020 na kuweka wana-CCM kama mwenyekiti na mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi. Wewe umetumiaje nguvu zako?
Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au Willing ya watawala. Hivi mkitoka watu million 6 barabarani ambao ni wanachama wa chama kimoja nchini, nani atawakamata wote na awaweke mahabusu zipi?

Ikumbukwe kua kwenye tukio kama hili hata askari wakiua raia hata mmoja watakuwa katika wakati mgumu.

Upinzani umekwama kwenye plans na techniques,wamekwama kwenye organisation, wamekwama kwenye coordination. Mnashindwa kutawanya viongozi wenu kuanzia ngazi za matawi,msingi,kata hadi kanda na taifa mkafikisha ujumbe wa katiba mpya kwenye mamlaka za nchi na kimataifa?

Eti mnaogopa chama kufutiwa usajili, uoga wa kipumbavu kabisa huu. Kwani mkifutiwa chama si mnajiunga na kiingine au mnaibua kipya? Kufuta chama ni kufuta harakati moyoni? Kufuta chama ni kufuta mageuzi moyoni?

Ninashangaa sana Chama kimoja kikubwa cha upinzani mwenyekiti wa yupo gerezani kwa kesi za kuchonga wapo tu wanaendelea kusugua miguu mahakamani kila siku. Hivi alivyoguswa Zuma wa SA mliona lakini? Alivyoguswa Raila Odinga wa jamuhuri ya Kenya mliona lakini? Nenda kamguse Malema wa SA hivi sasa uone.

Watu million 6, tofauti ya wanachama ni milion 2 na CCM Chama tawala mnalialia kweli?

Udhaifu wenu ni mkubwa sanwa wabishi na hamshauriki. Labda vyama hivi vife vyote tuanze na moja huenda tutapata vyama vyenye dhamira ya kweli na taifa hili.
 
Mayala unajihakikisha bure, kwa sheria za hovyo ambazo zipo na hata chama dola CCM kinajisabu kwa mabao ya mkono wao wapinzani wasingekuwa na hao wanachama zaidi ya milioni 6 wangekuwa wanainyima CCM usingizi, akina IGP na vijana wake wangekuwa wanahangaika kuzuia mikutano hata ya ndani ya wapinzani? Je kesi za hovyo za kuwabambikia wapinzani zingekuwepo. We jamaa ni mtu wa hovyo kabisa
 
Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au Willing ya watawala. Hivi mkitoka watu million 6 barabarani ambao ni wanachama wa chama kimoja nchini, nani atawakamata wote na awaweke mahabusu zipi?

Ikumbukwe kua kwenye tukio kama hili hata askari wakiua raia hata mmoja watakuwa katika wakati mgumu.

Upinzani umekwama kwenye plans na techniques,wamekwama kwenye organisation, wamekwama kwenye coordination. Mnashindwa kutawanya viongozi wenu kuanzia ngazi za matawi,msingi,kata hadi kanda na taifa mkafikisha ujumbe wa katiba mpya kwenye mamlaka za nchi na kimataifa?

Eti mnaogopa chama kufutiwa usajili, uoga wa kipumbavu kabisa huu. Kwani mkifutiwa chama si mnajiunga na kiingine au mnaibua kipya? Kufuta chama ni kufuta harakati moyoni? Kufuta chama ni kufuta mageuzi moyoni?

Ninashangaa sana Chama kimoja kikubwa cha upinzani mwenyekiti wa yupo gerezani kwa kesi za kuchonga wapo tu wanaendelea kusugua miguu mahakamani kila siku. Hivi alivyoguswa Zuma wa SA mliona lakini? Alivyoguswa Raila Odinga wa jamuhuri ya Kenya mliona lakini? Nenda kamguse Malema wa SA hivi sasa uone.

Watu million 6, tofauti ya wanachama ni milion 2 na CCM Chama tawala mnalialia kweli?

Udhaifu wenu ni mkubwa sanwa wabishi na hamshauriki. Labda vyama hivi vife vyote tuanze na moja huenda tutapata vyama vyenye dhamira ya kweli na taifa hili.
Kanywe togwa kwanza halafu andika upya.
 
Unawasema udp au act??
 
Uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2020 hauwezi kuwa kipimo cha hali ya upinzani nchini.

TISS walifanya utafiti mwanzoni mwa 2020 na wakaona kuwa Magufuli na CCM wasingeweza kupata zaidi ya 30% kama uchaguzi Mkuu ungefanywa kwa haki.

Kwa kuogopa hilo na huku akijua kuwa uchaguzi wa 2015 nao Edward Lowassa alimshinda, ila TISS kupitia Kapilimba akiwa NEC enzi hizo na Team ya Kinana na Nape na Januari Makamba wakiwa Masaki ndiyo walioiba kura kwenye mtandao na kumfanya aonekane ameshinda.

This time October 2020, Magufuli aliamua kuiba kura kupitia TISS, Police na NEC kwa kuchapisha kura FEKI pale Jamana Printers. Then vijana wakawka Kambi pale Mbweni kwa ajili ya ku-tick. Na DSOs wakatumika kutumbukiza kura hizo kwenye masanduku ya kura.

Magufuli alijua kama zingehesabiwa moja moja hata ule wizi wa mtandao usingeweza kuiba kiasi anachotakiwa kumpita Lissu.

Itoshe kusema kisiasa CCM inachukiwa sana na wananchi kwa matendo maovu ya Magufuli ya miaka 5 iliyopita hususan;
-Kumpiga Lissu risasi akiwa bungeni
- Kubomoa nyumba za wananchi wa ubungo kupisha barabara bila kuwafidia
-Kuwa na kikundi cha WASIOJULIKANA chini ya MAKONDA kilichokuwa kinateka na kuua watu
  • Kuwatoa wafanyakazi wa "vyeti feki" huku yeye mwenyewe Magufuli akiwa na PhD feki na Makonda wakiwa na vyeti feki
  • Kutotoa nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi
  • Kupeleka miundombinu mikubwa kwao Chato
  • Kukataa wazi wazi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yanayoshikiliwa na UPINZANI

Mytake:
CCM chini ya Samia inapswa ifanye kazi kubwa kurudisha Imani kwa wananchi. Hatutegemei kwamba Jeshi/ Police/ NEC siku zote zitaisaidia CCM
 
Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au Willing ya watawala. Hivi mkitoka watu million 6 barabarani ambao ni wanachama wa chama kimoja nchini, nani atawakamata wote na awaweke mahabusu zipi?

Ikumbukwe kua kwenye tukio kama hili hata askari wakiua raia hata mmoja watakuwa katika wakati mgumu.

Upinzani umekwama kwenye plans na techniques,wamekwama kwenye organisation, wamekwama kwenye coordination. Mnashindwa kutawanya viongozi wenu kuanzia ngazi za matawi,msingi,kata hadi kanda na taifa mkafikisha ujumbe wa katiba mpya kwenye mamlaka za nchi na kimataifa?

Eti mnaogopa chama kufutiwa usajili, uoga wa kipumbavu kabisa huu. Kwani mkifutiwa chama si mnajiunga na kiingine au mnaibua kipya? Kufuta chama ni kufuta harakati moyoni? Kufuta chama ni kufuta mageuzi moyoni?

Ninashangaa sana Chama kimoja kikubwa cha upinzani mwenyekiti wa yupo gerezani kwa kesi za kuchonga wapo tu wanaendelea kusugua miguu mahakamani kila siku. Hivi alivyoguswa Zuma wa SA mliona lakini? Alivyoguswa Raila Odinga wa jamuhuri ya Kenya mliona lakini? Nenda kamguse Malema wa SA hivi sasa uone.

Watu million 6, tofauti ya wanachama ni milion 2 na CCM Chama tawala mnalialia kweli?

Udhaifu wenu ni mkubwa sanwa wabishi na hamshauriki. Labda vyama hivi vife vyote tuanze na moja huenda tutapata vyama vyenye dhamira ya kweli na taifa hili.
Watanzania walio wengi hawawezi kuingia barabarani kumpigania Mbowe wala mwanasiasa yeyote.

Hii ni kwasababu vyama siyo INCLUSIVE.

Watu wengi hawaoni ni kwa njia yeyote wao ni sehemu au ni wanufaika wa wanasiasa.

Huo ndio ukweli MCHUNGU.
 
Weakness kubwa ya upinzani wetu ni kutojipanga, kulialia bila vitendo, kupiga kelele tu. Haiwezekani suala zima la Katiba Mpya ambalo ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi iwe kama hisani au Willing ya watawala. Hivi mkitoka watu million 6 barabarani ambao ni wanachama wa chama kimoja nchini, nani atawakamata wote na awaweke mahabusu zipi?

Ikumbukwe kua kwenye tukio kama hili hata askari wakiua raia hata mmoja watakuwa katika wakati mgumu.

Upinzani umekwama kwenye plans na techniques,wamekwama kwenye organisation, wamekwama kwenye coordination. Mnashindwa kutawanya viongozi wenu kuanzia ngazi za matawi,msingi,kata hadi kanda na taifa mkafikisha ujumbe wa katiba mpya kwenye mamlaka za nchi na kimataifa?

Eti mnaogopa chama kufutiwa usajili, uoga wa kipumbavu kabisa huu. Kwani mkifutiwa chama si mnajiunga na kiingine au mnaibua kipya? Kufuta chama ni kufuta harakati moyoni? Kufuta chama ni kufuta mageuzi moyoni?

Ninashangaa sana Chama kimoja kikubwa cha upinzani mwenyekiti wa yupo gerezani kwa kesi za kuchonga wapo tu wanaendelea kusugua miguu mahakamani kila siku. Hivi alivyoguswa Zuma wa SA mliona lakini? Alivyoguswa Raila Odinga wa jamuhuri ya Kenya mliona lakini? Nenda kamguse Malema wa SA hivi sasa uone.

Watu million 6, tofauti ya wanachama ni milion 2 na CCM Chama tawala mnalialia kweli?

Udhaifu wenu ni mkubwa sanwa wabishi na hamshauriki. Labda vyama hivi vife vyote tuanze na moja huenda tutapata vyama vyenye dhamira ya kweli na taifa hili.
Mleta mada HUJITAMBUI. Mandela alikaa jela miaka 27 ANC walikuwa hawapo? Yule Al Bashir wa Sudan alinyanyasa miaka mingapi kwa kutumia jeshi, vyama havikuwepo? Kila jambo na wakati ukifika tu, Hawa CCM wanaotamba saa hizi unajuaje wakati umefika na wanaweza KUONDOKA kwa jambo dogo tu. Bashir aling'olewa na harakati za msichana mdogo tu Moto ikawaka nchi nzima, hakuna cha jeshi Wala vifaru viliweza kufua dafu. CCM wanajidanganya tu wakati ukifika hutawaona.
 
Huu ni ukweli mchungu, wapinzani wa Tanzania, hawapendi kabisa kuusikia ila kwanza weka facts right
  1. Tanzania hakuna chama chochote chenye wanachama milioni 6!. Chama kinachoongoza kwa wanachama ni chama dume, CCM chenye wanachama milioni 3!.
  2. Mgombea wa Chadema uchaguzi wa 2015, EL, ndie alipata kura milioni 6!, hizo sio kura za wanachama wa chama chochote cha siasa, ni kura za Watanzania waliomkubali EL.
  3. Upinzani Tanzani una matatizo sana kudhani CCM ndio tatizo
  4. Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
  5. Upinzani wa Tanzania ni Upinzani Makini wa Kweli, au ni Upinzani Uchwala?. Kasi ya JPM Itaua Upinzani Uchwala na Kuibua Upinzani Makini wa Kweli Au..?
  6. Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
  7. Japo Kazi ya Upinzani ni Kupinga, Lakini Sio Kupinga Kila Kitu, Kwenye Maslahi Ya Taifa, Tutangulize Utaifa, Tuwe Wamoja, Wakweli na Tusipotoshe.
  8. Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
  9. CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
  10. Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Hivyo kwa kifupi Tanzania, hatuna kabisa a capable and credible opposition ya kuiondoa CCM madarakani!. Hivyo CCM itaendelea kutawala Tanzania milele!. Huu ni ukweli mwingine mchungu, wasiopenda ukweli, hawataki kuusikia ila ndio ukweli wenyewe!.
Ungeaminika kwamba CCM ni chama dume kama ungeonyesha UDUME huo umetokana na sanduku la kura, lakini udume unaotokana na TISS na Polisi vunawezaje kusema ni udume? Mizani ikiwekwa sawa kuwa vyama vyote kutegemea sanduku la kura, CCM kesho tu hawapo, hili unalijua na wao wanalijua.
 
A340E460-7006-4C4E-A1BE-3527410BCE96.jpeg
 
Back
Top Bottom