Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Walishazoea kufanya ufisadi na kuiba mali za umma na wakati wa uchaguzi wanawalaghai wananchi. Sasa watanzania walishawashutukia. Mwaka 2015 baada ya kuona kuwa walishachafuka kwa ufisadi...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Nilikuwa naangalia "poster" yenye Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ya 2002 ambapo Hayati Benjamin W.Mkapa akiwa Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (Mjumbe), na Mhe. Samia Suluhu Hassan...
4 Reactions
4 Replies
807 Views
Hawa ndiyo wanasadikiwa kuwa ni wana CCM waliotaka kuachana na utamaduni wao wa 'miaka 10' aachiwe mwanaCCM aliyepo Ikulu aendelee 2025. Vigogo wazito kama Spika Job Ndugai, waziri mzalendo namba...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Kauli yako ilipokelewa kishujaa sana ,baada ya Rais Samia kukujibu ulitakiwa ujiuzulu ,kosa ulilofanya ni kuomba msamaha ,hapo kwa kweli uliharibu sana sana tu. Hoja yako ilikuwa makini sana...
0 Reactions
6 Replies
962 Views
Popote alipo NS Tulia Ackson, PhD angetulia tu kwenye kiti chake cha enzi cha unaibu spika, natambua hapo alipo anatamani kuweka enzi yaani yale matamanio ya kisiasa ya kupanda juu ulipo chini...
1 Reactions
6 Replies
730 Views
Kumbe muda wote serikali ya CCM inapanga na kutekeleza miradi mbalimbali haikuwa na chombo cha kusimamia miradi hiyo ili kuhakikisha matokeo. Sasa wameamua kuwa ili matokeo ya miradi hiyo...
13 Reactions
129 Replies
15K Views
Ujumbe wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, kabla ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, ulikuwa wazi. Ni kuwa mabadiliko ya Baraza yamefanyika ili 'kubaki' na wa kwenda nao pamoja 2025 na 'kuwapa...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Nawasalimu nyote, Mimi si muhumini wa chama tawala tangu nilipojitambua. Ukweli hii nchi yetu ilikuwa imefikia pabaya sana kipindi cha awamu ya tano, kuna madhira mengi mno yalokuwa yamejificha...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
RIDHIWAN KIKWETE HANA SIFA ZA KUITWA WAZIRI WA WATANZANIA (i) "HATIMAYE MAMA AMEPATA AINA YA WATU WA KWENDA NAYE” (ii) "JE, ATAACHA KULALAMIKA? ATAACHA KUTOA VISINGIZIO VYA KUSHINDWA?” Rais...
36 Reactions
51 Replies
6K Views
Nawasalimu Kwa Jina La JMT. Katika teuzi mpya zilizofanywa na Mheshimiwa Raisi Mama Samia Suluhu Hassan ni kupangua safu za baadhi ya wakuu wa mikoa. Mabadiliko yaliyonistua ni kuondolewa kwa RC...
9 Reactions
76 Replies
15K Views
Ni taarifa za hivi karibuni kabisa kutoka kwa watu walio karibu na mbunge wa Nzega vijijini, Dkt. Kigwangalla. Taarifa zinasema Kigwangalla atachukua fomu kesho pale Dodoma na tayari Wabunge...
12 Reactions
72 Replies
5K Views
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo januari 14, mwaka huu wa kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima...
5 Reactions
132 Replies
10K Views
Kutokana na namna ambavyo imedhihirika kwamba sasa Spika hawezi kuwa na uhuru wa kuruhusu mijadala yenye afya kwa watanzania ndani ya bunge kwa hofu ya "kushughulikiwa" na chama (kwa vyama vyote)...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Kati ya watu walio kwenye kumbukumbu ya kuutaka urais. Mwigulu Nchemba Madelu, ni mmojawapo,na ushahidi bado maandishi yako kwenye mawe katika barabara kuu nyingi yakisomeka "mwigulu for...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kubalini upatiakanaji wa katiba mpya utakao harakisha maendeleo ya Taifa letu kwa ujumla. Katiba ni kama business plan. Nchi yetu inahitaji "Busness plan" itakayo endana na zama hizi za uwazi na...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza...
14 Reactions
133 Replies
10K Views
Ukumbile Ikina ikitali uje kwingila juughwe Mzee Ndugai, tukubhakana loli 😅 Wakati Mwingine ukiishi kwa uaminifu mwingi mitandaoni hukosi la kujifunza. Hivyo hata vyeo vyenu mngetathimini kwa...
3 Reactions
11 Replies
949 Views
Kwa kuzingatia ibara ya 51(2) juu ya uteuzi wa nafasi ya waziri mkuu ambacho kinasema: "Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…