Hawa watu kwa mshikamano huu wanamaanisha nini?

Hawa watu kwa mshikamano huu wanamaanisha nini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,444
Reaction score
289,731
Wakuu tunaomba radhi sana kwa habari zetu za Mahakamani kuwa nyingi labda kwa kiasi cha kufunika UAPISHO WA MAWAZIRI , hata hivyo kuzikalia habari kama hizi ni kutowatendea haki , kuna msemo wa kiungwana unasema hivi , nanukuu " USIKALIE HABARI " mwisho wa kunukuu .

Kwa vile uzuri wa kizuri ni KULA NA NDUGUZO .

Angalia Video hii hapa chini

 
Siasa bhana nimekumbuka wale walio kwenda kumuimbia gwajima kituo cha police kuosha gari. Anyway hii haiwezi kufunika tukio la leo "walio aminika kuwa sukuma gang wataenda kusaidia Executive kwenye maswala nyeti"

Ukitaka kummaliza adui yako mvute karibu, jinsi tunavyo tunavyo aminishwa usishangae kuambiwa ndugai ansaidia Executive kuwaangalia wabunge kwakuwa ni mzoefu.

Ina maanisha nini basis, mbowe yupo salama zaidi kwakuwa yupo mbali na adui zake.
 
Wakuu tunaomba radhi sana kwa habari zetu za Mahakamani kuwa nyingi labda kwa kiasi cha kufunika UAPISHO WA MAWAZIRI , hata hivyo kuzikalia habari kama hizi ni kutowatendea haki , kuna msemo wa kiungwana unasema hivi , nanukuu " USIKALIE HABARI " mwisho wa kunukuu .

Kwa vile uzuri wa kizuri ni KULA NA NDUGUZO .

Angalia Video hii hapa chini

View attachment 2076160
Duniani kuna viongozi na viongozi wa watu.
Mbowe ni kiongozi wa watu.

Duniani kuna vyama na vyama vya watu,chadema ni chama cha watu.

Wapige uwezavyo,wafunge uwezavyo,wanyanayase uwezavyo lakini katika taabu na raha zao wao huwa wamoja.
 
Chadema ina kazi kubwa kujinasua dhidi ya msimu wa mwendazake!
 
Ndio maana Kigogo anasema tafuteni agenda kwanza Ili tuwaelewe. Hii leo Ndugai kesho Lukuvi haitawasaidia

Kigogo aanzishe chama kisha kije na ajeny ili kieleweke. Yeye anashinda twitter ajenda zake ni kuruka kila kilichopo. Ww ndio umepoteza kweli, kwahiyo unasubiri kigogo aseme kitu, kisha ukibebe ndio ukilete humu?😂😂😂
 
Duniani kuna viongozi na viongozi wa watu.
Mbowe ni kiongozi wa watu.

Duniani kuna vyama na vyama vya watu,chadema ni chama cha watu.

Wapige uwezavyo,wafunge uwezavyo,wanyanayase uwezavyo lakini katika taabu na raha zao wao huwa wamoja.
Hapo umenena Mkuu.
 
Kigogo aanzishe chama kisha kije na ajeny ili kieleweke. Yeye anashinda twitter ajenda zake ni kuruka kila kilichopo. Ww ndio umepoteza kweli, kwahiyo unasubiri kigogo aseme kitu, kisha ukibebe ndio ukilete humu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuanzisha chama cha siasa na kiwe na miguvu kama ya Chadema si kazi ya kitoto
 
Wakuu tunaomba radhi sana kwa habari zetu za Mahakamani kuwa nyingi labda kwa kiasi cha kufunika UAPISHO WA MAWAZIRI , hata hivyo kuzikalia habari kama hizi ni kutowatendea haki , kuna msemo wa kiungwana unasema hivi , nanukuu " USIKALIE HABARI " mwisho wa kunukuu .

Kwa vile uzuri wa kizuri ni KULA NA NDUGUZO .

Angalia Video hii hapa chini

View attachment 2076160
Nimewahesabu mmoja mmoja - wapo 43 tu! Wanapungua kila kukicha.
 
Back
Top Bottom