Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunaofuatilia utendaji wa mama kulinganisha na mtangulizi wake tulimsikia mama kwa mbwembwe huku akionesha ukali akitangaza kumtimua mwenyekiti wa bodi wa bandari na kuamuru bodi yake ivunjwe. Pia...
1 Reactions
1 Replies
760 Views
Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika. Kuna mwingine Kwanza ana...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Ajali za magari ya serikali sasa zimekithiri. Watu wanakufa kama kuku na makosa yanalundikwa kwa dereva tu. Sasa inabidi iwepo uwajibikaji kisiasa kwa makosa ambayo inaelekea usimamizi wa sheria...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Kuna vitu viwili vimenishutua leo kutoka kwenye kichwa Cha Rais Mwinyi. Cha kwanza ni kusherekea 58yrs of independence Bado Zanzibari Haina mzanzibari mzawa au hata serikali Haina uwezo wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa angalizo kwa wasimamizi wa chanjo kutolipisha watu fedha kwani chanjo hizo ni bure. Hayo yamebainishwa na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hii ni mala ya pili jana kumdunda mtumishi hapa kijiji cha manchali,wiki chache zilizopita ulimfanyia hivyo mwalimu mkuu wa shule ya msingi chinangali 2 hukuridhika ukamshusha na cheo Je umewahi...
9 Reactions
88 Replies
7K Views
Igweeeee Aisee ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni hivyo ndivyo waswahili hunena! Pia nachelea kusema hapa Tanzania tunaupinzani usiokuwa na hoja wala ajenda zao wenyewe, zaidi wao ni kuunga...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
=== Katibu wa Halmashauri Kuu ya Nec Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka ametoa ratiba ya kumpata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi atakayepeperusha bendera kwenye Uchaguzi wa...
11 Reactions
70 Replies
7K Views
Naomba kukupongeza Kwa hotuba nzuri inayoeleza kinaga ubaga umefanini na unategemea kufanya Nini huku ukiweka wazi vyanzo vyote vya fedha Kwa Kila mradi, nimependa umekuwa wazi kuonyesha namna...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Sikukubaliana na JPM kwenye mambo mengi ikiwemo Udikteta, Uonevu na Mradi wa Ndege Lakini namuunga mkono sana kwenye mradi wa Stieglers na SGR Kwa hiyo Mheshimiwa Rais Taarifa hii ya Gazeti la...
32 Reactions
87 Replies
10K Views
#DARESSALAAM :- NUKUU ZA RAIS SAMIA WAKATI WA UTIAJI SAINI WA UJENZI WA RELI MAKUTOPORA - TABORA Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini ujenzi wa reli ya kisasi (SGR) kutoka...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeshangaa sana kuona Mama katua Dodoma leo na mojawapo ya zile ndege kubwa (Airbus) za ATCL badala ya kutumia ndege maalalumu ya Raisi(5H-ONE) ambayo ilikuwa ni lazima inunuliwe hata kama...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Mgongano wa mawazo ndiyo afya, nchi inapitia ktk tetemeko la kisiasa baada ya kifo cha Rais aliyekuwa anahudumu Askofu Bagonza atoa mawazo yake kuhusu masuala mbalimbali ya siasa na sayansi ya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika vitu vinaumiza ni mtu kudai malimbikizo yake ya kazi aliyoitolea jasho halafu Fomu zinajazwa hapo wizarani unazikuta zinazagaa mpaka zinapigwa mateke kwa kukosa utaratibu mzuri Ukiingia...
0 Reactions
5 Replies
886 Views
Bwana Job kajitoa kwenye kiti cha usipka ila bado ataendelea kuifanyia kazi nchi katika nyanja mtambuko kwani yeye ni wa serikali. Kujiuzulu sio upunguani ama udunifu bali wakati mwingine...
0 Reactions
11 Replies
966 Views
Hili wala hatutaki kukificha kwa sababu kila siku tukiwakumbuka ndugu zetu hawa tunabubujikwa machozi yaliyojaa maumivu makali na huenda hata damu hutokea kwenye machozi haya. Tunajua waliohusika...
11 Reactions
43 Replies
5K Views
Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi. Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Salaam Mama , Rais wa JMT Awali ya yote nikupe Pole kwa majukumu ya kila siku unayokabiliana nayo! Kwa vijana tulio wengi,, ambao hatujapata nafasi ya kuajiliwa katika serikali yako na Bado...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom