sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,363
Kuna vitu viwili vimenishutua leo kutoka kwenye kichwa Cha Rais Mwinyi.
Cha kwanza ni kusherekea 58yrs of independence Bado Zanzibari Haina mzanzibari mzawa au hata serikali Haina uwezo wa kusimamia viwanja vya ndege mpaka inakodsha shirika la ndege kwa taifa fulani.
Hivi ikitokea vita hiyo anga mtavunja mkataba wa kupitishia mandege yenu ya kivita? Ili ni jambo la aibu.
Pili serikali inagemea kuagiza furniture kutoka nje furniture bira shaka ni za maofisini, Ili kwakweli limekuvua nguo Mh Rais.
Yaki mamIti na mm miisitu tuliyonayo Tanzania bado mnaagiza furniture nje ya nchi?
Uzi huu naomba mode usiuunganishe na mwingine maana huu nilitaka nimtage Rais ila nikaambiwa amelala sasahiv kesho watamfikishia mezani.