Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa...
5 Reactions
201 Replies
21K Views
Hii najua itawatibua wengi lakini ukweli lazima usemwe. Nchini mwetu hii sekta ya fedha au uchumi ni sekta iliyoonekana kuwa kimbilio la wasio na uwezo mkubwa kielimu kama inavyotokea sasa kwenye...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Commander Blasius Chatanda wa Simiyu, ulimhamisha kutoka Tanga ukampeleka Simiyu, hivyo ikupendeze kumtoa simiyu Umpeleke Misenyi au Katavi au mpangie kazi nyingine. Itakuwa ni hali ya kawaida ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania? Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya. Someni ibara ya 57(2)(e)...
0 Reactions
92 Replies
7K Views
Msemaji wa CCM makao makuu Dodoma amesema idadi ya waliochukua fomu za kugombea nafasi ya Spika wa bunge la JMT imefikia 30 kufikia leo saa 10.00 jioni. Amesema fomu zinatolewa katika vituo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni ngoma ya Wagogo ambayo imeshangiliwa sana wakati ikitumbuiza mbele ya wageni rasmi katika sherehe za miaka 58 ya Mapinduzi. Kumbe hakuna anayewadharau " Wagogo" Mapinduzi daima!
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Mzee huyu ambaye alikuwa kijana anastahili lile jina la 'Mzee wa Maamuzi magumu' Hili halina ubishi na amalidhihirisha mara kadhaa na kwa ustadi wa kipekee. Mwaka 2010 alikuwa kwenye wakati...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank. Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na...
3 Reactions
76 Replies
4K Views
Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination, ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na...
49 Reactions
150 Replies
15K Views
Ni kweli kuna mihimili mitatu kwa mujibu wa katiba ya JMT ambayo ni Executive au Serikali, Bunge na Mahakama. Katiba imetoa mgawanyo wa majukumu kwa mihimili hii lakini sijaona ibara inayosema...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Amefurushwa Mh. Ndugai kiongozi wa mhimili kinyume cha katiba. Katika hali ya kusikitisha, ni Chadema na NCCR pekee ndiyo angalau wamefahamika wanasimama wapi kwenye kadhia hii: Bado hakuna...
5 Reactions
65 Replies
4K Views
Kama kijana nimekuwa nikipata maswali mengi sana toka kwa vijana wenzangu pale ninapojaribu kuonesha husia zangu au pale ninapotoa hoja zangu zinazoonesha kuiunga mkono iwe hapa ama mahali...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Sifa kubwa kama unataka kuwa kiongozi kupitia CCM ni kuwa mnafiki, wala siyo elimu. Hata ukisoma, hiyo elimu hutaweza kuitumia popote ndani ya mifumo ya Serikali au chama, inayodhibitiwa na chama...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Poleni wote mliopatwa na msiba baada ya ajali iliyosababisha vifo vya wanahabari kadhaa huko Mwanza. Pili nichukue fursa Hii kumwombea msamaha Mhe. Nape Kwa kuteleza wakati anatoa salamu za...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwenu makamanda watukuka mnaoyaweka matumaini yetu ya kesho bora kuendelea kuwa hai. Kwa mara nyingine, pamoja na kutotegemea dodo kwenye mnazi, wale tutakaoweza tukutane mahakamani "Law School...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Mh.Rais, Kwa kuwa kisiwa cha Zanzibar ni chanzo kikuu cha vivutio vya kitalii, ukizingatia wewe ni mzaliwa wa Zanzibar basi fanya kila unaloweza kabla hujamaliza kipindi chako cha urais wa JMT...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nakumbuka wakati wa serikali ya awamu ya pili ya JMT Zanzibar iliomba kuwa mwanachama wa Jumuiya ya nchi za kiislamu lakini Jumuiya hiyo ikaikatalia. Je, ni kwanini ilikataliwa? Naomba...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Habarini ndugu watanzania wenzangu. Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, kumekuwa na ukimya juu ya makusanyo ya tozo kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu tofauti na hapo awali...
3 Reactions
1 Replies
750 Views
Ile dhana ya ccm ni chama cha wakulima na wafanyakazi ,na ya kwamba ni taasisi ruksa kwa mtanzania yoyote kujiunga na kugombea nafasi ya uongozi imetoweka na Nyerere. Ili taka kurudi kwa hayati...
1 Reactions
6 Replies
879 Views
Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili...
1 Reactions
5 Replies
730 Views
Back
Top Bottom