Dunia inaenda kasi sana, wapinzani waungana na Spika Ndugai

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
827
1,966
Igweeeee
Aisee ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni hivyo ndivyo waswahili hunena!

Pia nachelea kusema hapa Tanzania tunaupinzani usiokuwa na hoja wala ajenda zao wenyewe, zaidi wao ni kuunga juhudi kitu chochote kinachompinga rais na serikali

Wote tunafahamu, katika siasa za bunge la nchi hii kwa kiwango kikubwa zimeharibiwa na speaker ndugai

Mtu aliyewaumiza upinzani hasa chadema ndani ya bunge ni huyu ndugai. Ndugai alimnyasa sana Tundu lisu, aliwafuta ubunge wabunge wa chadema, aliwafukuza nje ya bunge, aliwaambia kabisa hawatarudi baada ya 2020, aliwatusi familia zao na zaidi huyo Ndugai aliwahalarisha wabunge covid 19 huku chadema kikiwa kimewafukuza uanachama

Huyo Ndugai aliikandamiza katiba, aliminya uhuru ndani ya bunge pia

Leo hii wapinzani wote wanauunga mkono kwa kutoa ajenda ya kumpinga rais tena isiyo na mashiko kabisa...Lema, Zito, Sugu, Msigwa na wengine sio wa kumfurahia Jobo Ndugai

hakika wapinzani wa nchi hii bado sana
 
Kwa akili zako ni nafuu mama yako angetumia mirinda kuliko mbupu za babaako
clap.gif

Hoja yako ya kipuuzi. Mtu mwenye uelewa, weledi, na mtii wa nafsi, hutakiwi kumwunga mkono au kumpinga mtu bali uyapinge au kuumga mkono yale anayoyasimamia, yaani unapinga au kuunga mkono hoja, siyo mtu. Hiyo ndiyo falsafa ya wenzetu wa US kusema US haina rafiki wala adui wa kudumu. Hata hivyo sijaona mahali popote ambapo wapinzani wameonesha kumwunga mkono Ndugai au hoja ya Ndugai.

Ndugai apingwe kwa hoja na matendo yake ya kipuuzi na siyo kwa sababu ya kuwa Ndugai. Hoja ya Ndugai inaweza kuungwa mkono kama ina ukweli na inaweza kupingwa kama ni ya kipuuzi.

Samia akiwa na Magufuli aliwahi kutamka kuwa CCM itashinda kwa sababu hata watu wakipigia kura kungine, kura itahesabika CCM. Ule ni upuuzi, ni wa kupingwa.

Samia amewahi kulaani jinsi polisi wanavyoonea watu, ile ni kauli ya hekima, inahitajika kuungwa mkono na kila mwenye dhamira njema na Taifa letu. Huwezi ukabakia unasema siwezi kuunga mkono kauli yoyote ya Samia, eti kwa vile huko nyuma aliwahi kutoa kauli ya hovyo/kinyume na sheria na utashi wa uongozi.

Samia huyu huyu wakati anakemea uonevu, amembambikia kesi Mbowe. Kwenye hilo hatuwezi kusema tumwunge mkono Samia eti kwa sababu aliwahi kukemea uovu wa Polisi, hapana, hapa tutamlaani kwa ushetani huu mpaka siku atakapobadilika na kuwa mtu wa haki.
 
Umemaliza,Thread closed!
 
Mpinzani gani labda A.L Mrema na J.M cheyo na akina Queen Sendiga
 
Wapinzani gani walioungana na ndugai.watu wote wanauhuru wakujadili jambo lolote haijalishi limesemwa na nani,iwe la kijinga au la maana.Sasa hiyo ni tofauti na kuungwa mkono na upinzani.Kwakifupi ni kwamba chini ya ccm iko siku nchi itapigwa mnada.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tafuta list ya nchi zenye madeni makubwa Africa na duniani kote then linganisha na Tanzania
 
Igweeeee
Aisee ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni hivyo ndivyo waswahili hunena!

Pia nachelea kusema hapa Tanzania tunaupinzani usiokuwa na hoja wala ajenda zao wenyewe, zaidi wao ni kuunga juhudi kitu chochote kinachompinga rais na serikali

Wote tunafahamu, katika siasa za bunge la nchi hii kwa kiwango kikubwa zimeharibiwa na speaker ndugai

Mtu aliyewaumiza upinzani hasa chadema ndani ya bunge ni huyu ndugai. Ndugai alimnyasa sana Tundu lisu, aliwafuta ubunge wabunge wa chadema, aliwafukuza nje ya bunge, aliwaambia kabisa hawatarudi baada ya 2020, aliwatusi familia zao na zaidi huyo Ndugai aliwahalarisha wabunge covid 19 huku chadema kikiwa kimewafukuza uanachama

Huyo Ndugai aliikandamiza katiba, aliminya uhuru ndani ya bunge pia

Leo hii wapinzani wote wanauunga mkono kwa kutoa ajenda ya kumpinga rais tena isiyo na mashiko kabisa...Lema, Zito, Sugu, Msigwa na wengine sio wa kumfurahia Jobo Ndugai

hakika wapinzani wa nchi hii bado sana
Tatizo magufuli aliwamezesha sumu kuwa upinzani ni uadui, hivyo mnadhani kuwa wapinzani huwa wanapinga tu hata kama jambo ni jema kwa nchi. Hata wewe siku ukija na hoja zenye mashiko kwa nchi wataungana na wewe
 
Ahah hamueleweki wapinzani wakipinga utasikia pinga pinga. Wakikaa kimya wana support kinachoendelea.
 
Hoja yako ya kipuuzi. Mtu mwenye uelewa, weledi, na mtii wa nafsi, hutakiwi kumwunga mkono au kumpinga mtu bali uyapinge au kuumga mkono yale anayoyasimamia, yaani unapinga au kuunga mkono hoja, siyo mtu. Hiyo ndiyo falsafa ya wenzetu wa US kusema US haina rafiki wala adui wa kudumu. Hata hivyo sijaona mahali popote ambapo wapinzani wameonesha kumwunga mkono Ndugai au hoja ya Ndugai.

Ndugai apingwe kwa hoja na matendo yake ya kipuuzi na siyo kwa sababu ya kuwa Ndugai. Hoja ya Ndugai inaweza kuungwa mkono kama ina ukweli na inaweza kupingwa kama ni ya kipuuzi.

Samia akiwa na Magufuli aliwahi kutamka kuwa CCM itashinda kwa sababu hata watu wakipigia kura kungine, kura itahesabika CCM. Ule ni upuuzi, ni wa kupingwa.

Samia amewahi kulaani jinsi polisi wanavyoonea watu, ile ni kauli ya hekima, inahitajika kuungwa mkono na kila mwenye dhamira njema na Taifa letu. Huwezi ukabakia unasema siwezi kuunga mkono kauli yoyote ya Samia, eti kwa vile huko nyuma aliwahi kutoa kauli ya hovyo/kinyume na sheria na utashi wa uongozi.

Samia huyu huyu wakati anakemea uonevu, amembambikia kesi Mbowe. Kwenye hilo hatuwezi kusema tumwunge mkono Samia eti kwa sababu aliwahi kukemea uovu wa Polisi, hapana, hapa tutamlaani kwa ushetani huu mpaka siku atakapobadilika na kuwa mtu wa haki.

"Samia huyu huyu wakati anakemea uonevu, amembambikia kesi Mbowe. Kwenye hilo hatuwezi kusema tumwunge mkono Samia eti kwa sababu aliwahi kukemea uovu wa Polisi, hapana, hapa tutamlaani kwa ushetani huu mpaka siku atakapobadilika na kuwa mtu wa haki."
[/QUOTE]

Yani hata kabla mtoa post haja edit tayari mnaonyesha uwezo wenu mdogo wa kujua malengoyenu ni nini.
Wenzako wana mlaumu hayati Magu kwa kesi ya mboe,wewe unamlaumu mama, mkiambiwa hamjui mnacho fanya, mnaanza kusema ushetani, hovyo sana nyie watu.
 
Back
Top Bottom