Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,794
- 4,883
Bwana Job kajitoa kwenye kiti cha usipka ila bado ataendelea kuifanyia kazi nchi katika nyanja mtambuko kwani yeye ni wa serikali. Kujiuzulu sio upunguani ama udunifu bali wakati mwingine unaambiwa kaa pembeni kutokana na kuwa sio rafiki kwa mfumo uliopo, it is the matter of time and place.
Inapofikaga wakati hakunaga ujuaji utaondoka au utaondoshwa ama utapumzishwa. Kwa cheo alichokuwa amefikia tumtegemee sasa kuitumikia nchi katika marginalized posts kama za Chancellor aka mkuu wa chuo kimojawapo soon. Na kimataifa pia tutamtuma tu kutuwakilisha. Resignation is not a sin