Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.
Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko...
Naunga mkono Serikali kuunda kama ya kiuchunguzi kujua kiini cha kuungua soko la mchikichini la Karume na kuja na mapendekezo yake, japo kuwa kamati zinazoundwa huwa hazitow taarifa kwa umma,ila...
Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza...
Pamoja na kilio chake lakini anazo hoja kwamba Serikali haijawahi kutoa ripoti za uchunguzi wa moto kutoka tume inazoziunda, ripoti ya moto wa soko la Kariakoo hadi sasa imekaliwa na Kasimu...
Kila Mkuu wa mkoa Dar ana kibarua cha wamachinga, why akili huwa haitumiki kabisa?
Toka Marehemu Ditopile Mzuzuri anaongea live kwenye tv DTV kuhusu kuwaondoa wamachinga .hadi Leo mambo ndo...
Wakuu Kwema!
Ajira Hakuna!
Tumetoka familia Masikini Sana.
Nina rafiki zangu wengi waliokuwa wanauza uza mitumba Yao pale Karume.
Mitaji Yao wameipata Kwa mbinde Jamani! Ndugu zangu wote...
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema madarasa yaliyojengwa hivi karibuni zimetumika hela za Covid 19, Tozo na fedha kutoka kwenye vyanzo vingine.
Mkoa wa Njombe kwa mfano umepokea jumla ya...
Wasalaam Members!
Tangia nisikie Mh Chenge amechukua form ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nimejikuta nikitafakari sana kuhusu kutokurudi kwake Bungeni 2020 na hizi mbio...
Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana.
Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya?
Hapa Kuna...
Kutokana na hasara kubwa waliopata wafanyabiashara wa soko la Karume baada ya ajali ya moto ni busara na ubinadamu wa hali ya juu Umoja wa Vijana wa CCM ufanya harambee ya kuchangisha pesa kwa...
Mkuu wa mkoa wa dar es salaa amesema kuanzia tarehe 01/03/2019 atahakikisha watu wote wanaokaa dar es salaam wanakaguliwa na lazima wawe na
1.Kitambulisho cha Machinga cha Mheshimiwa rais,
2.Ama...
Inakuaje hata mtu mwenye elimu ya Darasa la 7 vigezo vinamruhusu awe spika? Eti ajue kusoma na kuandika tu. Hivi watunga sheria walikuwa wamelewa au?
Bunge ni kiungo muhimu sana kikiwa muhimili...
Kwa sasa kumekuwa na mgawo wa umeme ambao kwa kweli unakwamisha maendeleo. Baadhi ya maeneo umeme unakatwa kutoka asubuhi mpaka jioni.
Mfano ni Tegeta na maeneo mengine. Kweli hii ndio dhana ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema urais sio mtu ni taasisi lakini kikatiba kunakuwa na mtu pale juu. Amewaambia Mawaziri kuwa kama hawampendi Rais aliyepo basi wapende nchi yao
Amesema hata kama...
Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds...
Salaam Wakuu,
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda...
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar huku akibainisha kuwa kwa sasa wananchi...
Aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na ambaye aliwahi kukabiliwa na kesi ya rushwa Bw. Nalaila Kiula ameibuka leo na kumshangaa Waziri Mstaafu Bw. Joseph Warioba kwa kitendo cha ukosoaji wake wa kamati...