Paul Makonda: Kuanzia 01.03.2019 kila mtu lazima awe na kitambulisho cha machinga au ajira, kama huna we mhujumu uchumi

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,657
30,034
Mkuu wa mkoa wa dar es salaa amesema kuanzia tarehe 01/03/2019 atahakikisha watu wote wanaokaa dar es salaam wanakaguliwa na lazima wawe na
1.Kitambulisho cha Machinga cha Mheshimiwa rais,
2.Ama Awe na TIN number na Leseni ya biashara
3. Ama kazi maalumu, (ajira) ambayo ina vielelezo

Nje ya hapo mtu huyo atakuwa mhujumu uchumi kama wengine na atafuatiliwa

ANGALIZO
Miji yote dunian huwa ina watu wa aina zote hata ambao hawana ajira maana wapo hata wanaosaka ajira hawajapata,

Pili atasababisha watu kuishi kwa hofu kama enzi za kodi ya kichwa
 
Attachments

  • VID-20190228-WA0095.mp4
    4.4 MB · Views: 79
Haya! Wabongo wasipotia akili this time, ni basi tena. Na wasipotia akili, yote yawapatayo ni stahiki. Nchi ya baba na mwana!

Kwa wale wasiokuwa na kazi...Ushauri wangu, ili uweze kupona, na usipelekwe polisi (ambapo utatoa zaidi ya hiyo 20,000 ndo utoke), basi nunua tu hicho kitambulisho Maana naona serikali yetu haina ela. Fanya kila uwezalo, hata kama ni kukopa kwa ndugu au rafiki!

Fanyeni kuwa wazalendo na muache uhujumu uchumi!

Ccm mbele!
 
Mkuu wa mkoa wa dar es salaa amesema kuanzia tarehe 01/03/2019 atahakikisha watu wote wanaokaa dar es salaam wanakaguliwa na lazima wawe na
1.Kitambulisho cha Machinga cha Mheshimiwa rais,
2.Ama Awe na TIN number na Leseni ya biashara
3. Ama kazi maalumu, (ajira) ambayo ina vielelezo

Nje ya hapo mtu huyo atakuwa mhujumu uchumi kama wengine na atafuatiliwa
mheshimiwa, hapa Dar tupo 6M+.

be my guest!!
 
Mkuu wa mkoa wa dar es salaa amesema kuanzia tarehe 01/03/2019 atahakikisha watu wote wanaokaa dar es salaam wanakaguliwa na lazima wawe na
1.Kitambulisho cha Machinga cha Mheshimiwa rais,
2.Ama Awe na TIN number na Leseni ya biashara
3. Ama kazi maalumu, (ajira) ambayo ina vielelezo

Nje ya hapo mtu huyo atakuwa mhujumu uchumi kama wengine na atafuatiliwa
Umenikumbusha RC wa Dsm mwaka 47 alikuwa anaitwa John Mhavile na operesheni yake ya nguvu kazi!
 
Mkuu wa mkoa wa dar es salaa amesema kuanzia tarehe 01/03/2019 atahakikisha watu wote wanaokaa dar es salaam wanakaguliwa na lazima wawe na
1.Kitambulisho cha Machinga cha Mheshimiwa rais,
2.Ama Awe na TIN number na Leseni ya biashara
3. Ama kazi maalumu, (ajira) ambayo ina vielelezo

Nje ya hapo mtu huyo atakuwa mhujumu uchumi kama wengine na atafuatiliwa

ANGALIZO
Miji yote dunian huwa ina watu wa aina zote hata ambao hawana ajira maana wapo hata wanaosaka ajira hawajapata,

Pili atasababisha watu kuishi kwa hofu kama enzi za kodi ya kichwa
kabla hajateuliwa huko uvccm alikuwa na kimojawaopo❓
 
Back
Top Bottom