Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu.
Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja...
Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo!
Nimenda tena jana...
Aliyekuwa mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Mama Anna Mghwira amefariki dunia leo July 22, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Mount Meru, Arusha. Mama Mgwira alistaafu ukuu wa mkoa wa...
Uganda protests Kenya move to dump cargo at Malaba on old railroad
MONDAY JANUARY 17 2022
A traffic gridlock at Nzoia bridge on the Eldoret-Webuye highway, as long distance trucks queue from...
Ikumbukwe kuwa Chadema ilikuwa inakopa kwa mwenyekiti wake mh Mbowe badala ya kwenda kukopa kwenye benki za kibiashara.
Naupongeza utaratibu wa Chadema kwa sababu pamoja na kwamba hawajamlipa Mh...
Prof Mpoki Mafwega amechukua fomu ya kugombea Uspika wa bunge na kuahidi atashinda na kuweka historia mpya nchini kwani bunge siyo kwa ajili ya wanasiasa pekee.
Prof Mpoki amesema tokea mwaka...
Najua ni demokrasia lakini hili la Steve Nyerere ni zaidi ya demokrasia.
Yaelekea CCM haina kitengo cha kushauri na kuelimisha wanachama wake
Inathibitisha kuwa mtu yoyote anaweza kuliongoza...
Wazungu wanaipa dunia tabu sana, wanaamini kila wanachoanzisha kinapaswa kufuatwa na kutekelezwa kokote duniani.
Dunia ya sasa imeharibika sababu ya demokrasia. Demokrasia ni nzuri lakini...
Leo tumeona jinsi Refa alivyojitahidi kuwabeba Simba lakini haikusaidia. Kama ilivyotokea kwa Simba, ndivyo itakuja kutokea kwa chama dola siku ikifika ambapo hata wakibebwa, mwisho wa siku...
Kila nikijaribu kukumbuka na kutafakari zaidi kuhusu kauli za huyu Mama alizozitoa mbele ya Rais wa JMT kuwa mihimili yote haiko sawa, kwamba mhimili wa dola ni mkubwa zaidi kuliko miingine. Hii...
Mfanyabiashara Francis Mrosso (44) anayedaiwa kuombwa rushwa ya Sh 90 milioni na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya...
Ombi hili Kabambe limetolewa na Mh Jaji baada ya Mawakili wa serikali kuomba Shahidi asiendelee kutoa ushahidi kutokana na maumivu ya kichwa aliyoyalalamikia , sheria inataka Shahidi wakati wa...
Tume huru ya uchaguzi ndio itamuinua huyu Rais aliyepatikana kwa Mujibu wa katiba iliyopo, na kama kweli waTanzania wamemkubali basi muamuzi ni Tume huru ya uchaguzi isio na doa, lakini haya...
Ndugu watanzania mwaka huu ni mwaka mtashuhudia mambo ya ajabu na kushangaza mm nayaeleza ili Kwanza kuwafungua macho wale hawajuwi maana ya Karima na Kuwa Saidia wale Wana wania nafasi za uongoz...
Furaha Dominic ni mpwa wa hayati Magufuli.
Jumatatu alikuwa na mjadala katika kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na Star tv. Kutokana na mambo mengi aliyokuwa nayo muda wa kipindi...
Ukisikie serikali imelala ndo hivi sasa.
Waziri wa biashara haonekani wakati wafanya biashara wameunguliwa soko lao badara yake anaenda TAMISEMI.
Hivi TAMISEMI wao kila sehemu wapo?. Si watakuwa...
Wanabodi,
Jukwaa la Siasa:
Hapa Jukwaa la Siasa JF, mada nyingi ni mada za politiking, yaani kupiga siasa, lakini sii wengi wanajua kuwa hata mambo ya uchumi mkubwa ni siasa!, hapa tunazungumzia...
Peter Msigwa alipost maoni yake akiamini kuwa Chenge ni mtu ambaye angefaa kuwa Speaker wa Bunge. Pamoja na kuwa anaona Bunge halieleweki ila anaamini Chenge ni mtu mwenye msimamo na msomi wa...
Tangu mwaka jana nimekuwa nikimsikiliza mfanyabiashara Ramadhani Ntunzwe anavyosumbuliwa bila kupata ufumbuzi.
Nina imani kabisa rais wa wakati huo kama kweli alikuwa na nia ya kumaliza jambo...
Kuungua kwa soko la Mitumba Karume limefanya nifikirie mambo mengi mpaka jibu sina, kumbuka huyu bwana alipokuwa Mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko, ilikuwa shida sasa naona imehamia DSM. Sasa...