Kama Mbowe asingekuwa muungwana CHADEMA ingeshapigwa mnada kwa madeni. Ndugai ana hoja!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Ikumbukwe kuwa Chadema ilikuwa inakopa kwa mwenyekiti wake mh Mbowe badala ya kwenda kukopa kwenye benki za kibiashara.

Naupongeza utaratibu wa Chadema kwa sababu pamoja na kwamba hawajamlipa Mh Mbowe madeni yake bado Freeman amekuwa mvumilivu kwa sababu yeye mwenyewe ni sehemu ya chama.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ndugai anahoja , ndani ya miez 9 zimekopwa Trion 11 , na tozo juu ambazo tozo tuliambiwa zitacover ukopaji , tozo juu na ukopaji (in high rate ) ni mwehu Tu anayeweza msifu chief
 
Ikumbukwe kuwa Chadema ilikuwa inakopa kwa mwenyekiti wake mh Mbowe badala ya kwenda kukopa kwenye benki za kibiashara...
Waweza kuwa mnaa, hivyo Kwa sababu hiyo mmeamua kumwandama ili chadema ikwame sio, au ujumbe wako ni upi?
 
Ndugai anahoja , ndani ya miez 9 zimekopwa Trion 11 , na tozo juu ambazo tozo tuliambiwa zitacover ukopaji , tozo juu na ukopaji (in high rate ) ni mwehu Tu anayeweza msifu chief
Tukiachana na ushabiki wa kijinga hizi hela zinapelekwa Zanzibar, haiwezekani mtu akope kwa kasi hivyo.

Mpaka sasa sioni kabisa umuhimu wa Tozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe wangu ni kuwa kutumia fedha za ndani ni jambo jema!
Unatamani enzi za kutoongezwa nyoongeza miaka 6,wafanyabiashara kibambikwa Kodi,, hadikuhamisha biashara, na enzi za kupora beurea de change. Au unamaanisha mini?
 
Tukiachana na ushabiki wa kijinga hizi hela zinapelekwa Zanzibar, haiwezekani mtu akope kwa kasi hivyo.

Mpaka sasa sioni kabisa umuhimu wa Tozo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndo ukweli uliopo , hzi hela zinapelekwa Zanzibar , mambo ya SGR ni kufunika kombe , na wanaoshadadia wote ni wazanzibar , Zitto mwenyewe ananufaika na Zanzibar ,
 
Ikumbukwe kuwa Chadema ilikuwa inakopa kwa mwenyekiti wake mh Mbowe badala ya kwenda kukopa kwenye benki za kibiashara.

Naupongeza utaratibu wa Chadema kwa sababu pamoja na kwamba hawajamlipa Mh Mbowe madeni yake bado Freeman amekuwa mvumilivu kwa sababu yeye mwenyewe ni sehemu ya chama.

Maendeleo hayana vyama!
Pumbavu kweli
 
Back
Top Bottom