Jaji Tiganga amuomba Baba Askofu Mwamakula kumuombea Shahidi aliyepata Maumivu makali ya kichwa na kushindwa kuendelea kutoa Ushahidi wake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,503
217,767
Ombi hili Kabambe limetolewa na Mh Jaji baada ya Mawakili wa serikali kuomba Shahidi asiendelee kutoa ushahidi kutokana na maumivu ya kichwa aliyoyalalamikia , sheria inataka Shahidi wakati wa kutoa ushahidi wake awe na afya njema , kimwili na kiakili .

Ombi la Jaji limetokana na ukweli kwamba haifahamiki kama kesi hiyo yaweza kuendelea kesho kutokana na kutokuwa na Uhakika wa Shahidi kupona , Hapo ndipo Roho Mtakatifu alipomshukia Jaji na jicho lake kuangaza mahali alipoketi Askofu Mwamakula , na mara moja akatoa kauli ya KUMUOMBA BABA ASKOFU KUMUOMBEA SHAHIDI HUYO ILI AWEZE KUPONA NA KUHUDHURIA MAHAKAMANI ILI KESI HIYO IENDELEE KAMA ILIVYOPANGWA .
 
Ombi la Jaji limetokana na ukweli kwamba haifahamiki kama kesi hiyo yaweza kuendelea kesho kutokanabna kutokuwa na Uhakika wa Shahidi kupona , Hapo ndipo Roho Mtakatifu alipomshukia Jaji na jicho lake kuangaza mahali alipoketi Askofu Mwamakula , KUMUOMBA BABA ASKOFU KUMUOMBEA SHAHIDI HUYO ILI AWEZE KUPONA NA KUHUDHURIA MAHAKAMANI ILI KESI HIYO IENDELEE KAMA ILIVYOPANGWA .
Mungu ibariki CHADEMA
 
Ombi hili Kabambe limetolewa na Mh Jaji baada ya Mawakili wa serikali kuomba Shahidi asiendelee kutoa ushahidi kutokana na maumivu ya kichwa aliyoyalalamikia , sheria inataka Shahidi wakati wa kutoa ushahidi wake awe na afya njema , kimwili na kiakili .

Ombi la Jaji limetokana na ukweli kwamba haifahamiki kama kesi hiyo yaweza kuendelea kesho kutokana na kutokuwa na Uhakika wa Shahidi kupona , Hapo ndipo Roho Mtakatifu alipomshukia Jaji na jicho lake kuangaza mahali alipoketi Askofu Mwamakula , na mara moja akatoa kauli ya KUMUOMBA BABA ASKOFU KUMUOMBEA SHAHIDI HUYO ILI AWEZE KUPONA NA KUHUDHURIA MAHAKAMANI ILI KESI HIYO IENDELEE KAMA ILIVYOPANGWA .
Itapendeza kesho tukiambiwa amekufa au kapigwa kiharusi.
 
Maana yake huko kwao Jamhuri ni mashetani tu hawana watu wa kuombea wagonjwa wao wa michongo
 
Ombi hili Kabambe limetolewa na Mh Jaji baada ya Mawakili wa serikali kuomba Shahidi asiendelee kutoa ushahidi kutokana na maumivu ya kichwa aliyoyalalamikia , sheria inataka Shahidi wakati wa kutoa ushahidi wake awe na afya njema , kimwili na kiakili .

Ombi la Jaji limetokana na ukweli kwamba haifahamiki kama kesi hiyo yaweza kuendelea kesho kutokana na kutokuwa na Uhakika wa Shahidi kupona , Hapo ndipo Roho Mtakatifu alipomshukia Jaji na jicho lake kuangaza mahali alipoketi Askofu Mwamakula , na mara moja akatoa kauli ya KUMUOMBA BABA ASKOFU KUMUOMBEA SHAHIDI HUYO ILI AWEZE KUPONA NA KUHUDHURIA MAHAKAMANI ILI KESI HIYO IENDELEE KAMA ILIVYOPANGWA .
Jaji wa kimichongo
 
Back
Top Bottom