Jana Jumanne 18/01/2022 niliwasikia kupitia Wapo Radio madiwani wa mji wa Mtwara wakiitaka TARURA iondoe vibao vya mitaa vyenye majina ya yasiyopendeza! Madiwa hao walipendekeza TARURA iweke...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene kesho Agosti 16, 2020, anatarajia kuanza ziara yake ya kutembelea makambi na makazi ya wakimbizi katika Mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora...
Jana nilishtuka baada ya kumsikia aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai na Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa eneo hilo akidai kuwa kesi yake ya Uhujumu uchumi ni ya "Kutengeneza"
Nabaki...
Waungwana salamu [emoji1538]
Nisipoteze muda mwingi niende moja kwa moja kwenye mada.
Kujiuzuru uspika kwa Mhe. Ndugai kumezidi kuonesha ni kwa namna gani kama Taifa bado hatufahamu mambo mengi...
Leo tarehe 3/12/2021 inaweza kuwa siku nzuri kwa wapenda haki duniani , baada ya mmoja wa Wasiginaji wa kubwa wa haki hizo kuburuzwa Mahakamani kwa tuhuma kadhaa ikiwemo uvamizi wa kutumia silaha...
Kila siku jaji anaandika na kuweka mafaili lundo. Sasa nauliza tangu kesi ianze mpama leo bado anakumbuama tu aliandika nini na aliandika wapi?
Je, nani wa kuhakikisha kwamaba manavyovisema...
KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA ZITTO KABWE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia...
MADIWANI VITI MAALUM WAKUTANA NA DC. JOKATE
Madiwani wa Viti Maalum wakutana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Jokate Mwegelo lengo ni kujadiliana mambo mbali mbali yanayohusu wanawake katika...
Nimesoma hiyo story ya magazetini kuhusu maelezo ya balozi wa marekani kuwa serikali ya Kikwete haijawasiliana na serikali ya Marekani kuhusu suala la Balali kurejeshwa nyumbani. Nimesoma pia ile...
Taarifa zinasema kwamba Mh Kubenea amefikia uamuzi huo baada ya Hakimu Mkaazi wa Mahakama za Kinondoni na Kisutu kugoma kimchongo kufungua kesi hii ya Matumizi mabaya ya madaraka , uvamizi na...
Joshua Nassari aliyekuwa mbunge wa Arumeru kwa tiketi ya Chadema na sasa ni mkuu wa wilaya huko Mara amepiga marufuku Wazazi wa wanafunzi kuchangishwa michango yoyote wakati huu shule...
Asalaam Tanzania! bilashaka mmejibu kazi iendelee.
binafsi nimehuzunishwa sana na kauli ya SPIKA akiwa bungeni siku ya alhamisi tarehe 8/4/2021 yakuwa
"MKUBWA akishasema wengine inabidi tukae...
Arusha. Mke wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Jesca Thomas (28) ameieleza Mahakama namna walivyokamatwa na mume wake na askari waliokuwa na silaha jijini Dar es Salaam.
Jesca...
Nawaona kakikundi fulani wana underestimate uwezo wa Rais.
Kila mara Rais akiteua wanakuja kusema JPM alimtumbua, je ni watu wangapi JPM aliwatumbua na baadae kuwarudisha ni watu wangapi ambao...
Inawezekana mkanipinga kama ilivyokawaida yenu huwa hampendi kuambiwa ukweli. Chadema hii ni ya vijana waoga sana sana, wako Dkt. Slaa CHADEMA walikuwa wakitangaza maandamo yanakuwa maandamano...
Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie.
Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100%...
Shahidi wa 3, Lengai Ole Sabaya{35} ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro anayekabiliwa na Kesi ya Uhujumu Uchumi leo ameanza utetezi wake katika kesi ya uhujumu uchumi...
Naendelea kuwasisitiza watanzania wenzangu, jitahidini kusoma Rasimu ya Katiba Toleo la Pili, nasema hivi kwasababu ili muweze kuona tofauti kati ya Rasimu na Katiba inyopendekezwa ni lazima uijue...
Mkuu wa wilaya ya Ilala amesema baada ya siku 7 za uchunguzi kukamilika, siku ya 8 kamati itasoma ripoti yake hadharani mbele ya Waziri wa Tamisemi mh Bashungwa, RC Makala na Wamachinga wote...