Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MBUNGE NZILANYINGI ATAKA WANANCHI WANAOISHI MILIMANI WAONDOLEWE Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, John Nzilanyingi ameingia katika mgogoro na kashfa nzito na wananchi wake baada ya...
1 Reactions
4 Replies
152 Views
Tumeuliza hivyo kwa vile picha na video zake zinatumika mno kuhamasisha watu waingie kwenye mkenge huo. Cha kusikitisha ni kwamba hatujawahi kumsikia akikanusha jambo hilo wala kulikemea. Swali...
6 Reactions
13 Replies
224 Views
  • Featured
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, akiwa Kizimbani baada ya kuahirishwa kwa Kesi yake amehoji alipo aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, huku...
23 Reactions
49 Replies
2K Views
Uko uzi humu JF wenye ushahidi wa matusi ya bwana Kasesera akiwa hadharani, Ila ushadhibitiwa na wenye jukwaa Je wakati huo Bwana Nyahoza alikuwa kiziwii au hakuwa anatumwa?
8 Reactions
36 Replies
651 Views
Hati yetu ya mashitaka iliachana na neno deed ikachukua neno for the purpose of intimidating the Executive na hapa ikaachana na intimidating legislature or the Judiciary. Waheshimiwa Majaji...
6 Reactions
23 Replies
499 Views
Yaani Tanzania tumepata gas miaka mingi lakini hata umeme wa uhakika hatujapata mpaka bawa la nyerere!. Uganda angalieni walivyoendeleza miradi ya mafuta kuanzia uchimbaji wa mafuta, bomba la...
0 Reactions
1 Replies
61 Views
Tukumbuke mradi wa gas tumeongea kwa miaka 20 wenzetu kenya miezi minne uwekezaji $17B na hawana chochote pale! Sasa huu mradi wa Tanga hata Musevi hajui kinachoendelea amesema hata weka pesa...
0 Reactions
1 Replies
52 Views
Hii ni kutokana na hali ilivyo, baada ya maelezo ya mwisho ya mtuhumiwa wa uhaini kuibua hisia mseto, ikiwa ni pamoja na hatima maisha yake na siasa. Kutokana na hilo, huenda Chama Cha Demokrasia...
4 Reactions
89 Replies
665 Views
DC mstaafu mh Richard Kasesela amesema mke wake ana karama ya kuota ndoto na utambuzi. Ilikuwa siku ya Alhamis mke wangu alinipigia simu na kuniambia ameota ndoto joka kubwa linaninyemelea lakini...
28 Reactions
131 Replies
10K Views
AI yafika Polisi, wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji Misime Hapo awali walitoa tangazo la kukanusha posta ya kugushi iliyokuwa ikisema Msemaji wao Kafariki.
1 Reactions
2 Replies
159 Views
TRA hebu mtueleze brave browser ina kosa gani
1 Reactions
17 Replies
304 Views
Ni maneno ya kisiasa au maneno ya watu wenye Nia ya kufanya uhaini?? Instigation ni Neno bays au zuri. Kuwa himiza watu kutetea haki zao ni dhambi, kuwa instigate wakalime , nk ni
0 Reactions
2 Replies
62 Views
Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva. Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi...
2 Reactions
17 Replies
392 Views
Madereva si wachache nchi nzima. Kwamba wameweza kuanzisha mgomo nchi nzima ya Tanzania ni suala limetugutua kidogo. Tunaona serikali iko katika panic mode- hawakujua hili linakuja. Hilo ni somo...
8 Reactions
22 Replies
444 Views
Kama ilivyo kwa binadamu wengine ni vizuri kujuliana hali na kuthamini uhai wa kila mtu kwa hiyo naelewa nikiona watu wanawaza yuko wapi bwana Ima. Ila sisi sote tunajua quality ya mpinzani...
0 Reactions
3 Replies
102 Views
Katika final submission, Katuga alileta hoja ambayo kwa mtazamo wangu ndiyo sehemu yenye utata mkubwa zaidi kwenye suala la adhabu. Alidai kwamba Section 39(2)(d) inatumia maneno “shall be...
4 Reactions
5 Replies
271 Views
Wanataka siku zote adui yao awe CCM ili waendelee kubaki kututawala. Au wanataka mpinzani soft soft leo watu wanatekwa kesho tunakutana kwenye mechi ya Simba na Yanga tunachekeana na tag juu “...
1 Reactions
0 Replies
26 Views
Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa Kufuatia tishio la matamshi yenye viashiria vya uhaini dhidi ya serikali ya JMT kwa baadhi ya watu, na watu hao kushikiliwa na vyombo vya dola...
11 Reactions
40 Replies
5K Views
Siku moja tangu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, alipokutana na kuzungumza na madereva na abiria jioni ya tarehe 29 Septemba 2026 kufuatia mgomo wa kupinga mfumo wa kukatwa...
2 Reactions
0 Replies
100 Views
Hii kesi ya uhaini ya Lissu, imeniacha na maswali mengi lakini pia imenishangaza kwa mengi. Mojawapo ni sheria kutoa mwanya kuwa kuitisha serikali ni uhaini. Yaani kuitisha serikali ni ingredients...
2 Reactions
4 Replies
100 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…