Mhe. Jokate Mwegelo: ZAIDI YA BILIONI 4 KUBORESHA BARABARA TEMEKE.
Kiasi cha fedha zaidi ya shilingi bilioni nne kimetengwa kwa ajili ya kutatua changamoto za barabara ndani ya manispaa ya Temeke...
Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao.
Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa...
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri kwani hii itaondoa malamiko mengi dhidi ya uvunjwaji wa sheria unaoendelea - kusimikana uchifu - kitu kilichopigwa marufuku takriban miaka 60 iliyopita?
Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi.
Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na...
Kumbe ukitaka uchukiwe na wanaCcm basi we ziba mianya yao ya kuiba mali ya umma.
Hayati JPM alichukiwa na wanaCcm japokuwa walicheka nae na kumzunguka hio hii ni sababu aliwabana sana juu ya...
UKWELI HUWA HAUNA RAFIKI, SEMA UKWELI UCHUKIWE.
Lala pema peponi JEMEDARI NA RAIS WETU KIPENZI DKT JPM. wengine tushakataa kutubu wala kuomba msamaha kwa maana tunatambua kuzaliwa kwetu kuna...
Salaam Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, amepata 40% ya bajeti ya Maendeleo. Mkoa bado umeathiriwa na Ukame.
====
TAARIFA FUPI YA MKOA WA KILIMANJARO KWA
MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN...
Nendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi.
Tutakuwa Taifa la ajabu kuacha angalau hata kwenda Mahakamani. Najua mahakama iko compromised, but let it be on...
Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne.
Cha ajabu uwezo wao waliouonesha kizimbani ni mdogo...
Kama kuna raia mwema alimtonya Zitto juu ya kuchoma shamba lake na nyumba yake kuwa ulikuwa mpango wa lile kundi la wasiojulikana basi sasa ndio kipindi muafaka cha kuwaumbua hawa watu
Zitto naye...
Hivi karibuni Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alitawazwa kuwa Chifu Mkuu Hangaya. Pia leo akiwa Moshi anesema Serikali itashirikiana na Machifu na Viongozi wa jadi. Tawala za Machifu zilipata...
Kuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa...
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno...
Hapo vip!!
Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe,mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri.
Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za...
Tangu aape kuwa Rais wa sita wa Tanzania ni kama hajui kuwa ilani ya CCM inataka Tanzania iwe ya viwanda mpaka kufikia mwaka 2025 ili kuongeza ajira na uzalishaji nchini.
Kwa sasa umeme unasuasua...
Major Airlines Increase Flight Trips to Dar
Credit: Edward Q Orro in Arusha
TANZANIA'S resilience to the novel Coronavirus disease is now paying off after three major airlines increased their...
Rais Samia ameandika ktk ukurasa wake wa twitter "Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martine Shigella, Bi Magdalena Layda. Pole kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa...
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka.
Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa...
Kazi iendelee!
Ni jambo la kushangaza kwamba Tanzania tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwa mtandao na ubora Wa barabara isipokuwa Burundi.
Hivi kama Nchi hatuna dira,malengo na...